Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

Ajali mbaya ni ile ya Kibaigwa tayari imeshaondoka na roho 12
 
Ajali mbaya ni ile ya Kibaigwa tayari imeshaondoka na roho 12View attachment 2511366
Waongezwe matrafiki barabarani na tochi ziongezeke! Kila kijiji Trafiki wenye tochi wawepo utaona kama utasikia ajali ya uso kwa uso tena !! Kisababishi cha ajali karibu zote kwenye highways za TZ ni mwendokasi uliochanganyika na uzembe wa madereva wa kisasa !
 
Wanaoandika ujumbe au kusoma ujumbe kwenye simu wakati wanaendesha gari umewaweka kwenye fungu la wazembe au data hiyo haikusanywi na Kitengo cha Takwimu!? Basi watu hao wanasabisha ajali mithili ya mlevi au hata kumzidi!
 
Nilipita asubuhi kweli ajali ni mbaya sana na sidhani kama watu waliokuwa mbele kwenye fuso wanaoona. Huenda wote wameteketeza kwani sehe yote ya mbele imekunjamana
 
Hawa siyo casualties ni victims. Learn to differentiate btn the two. Causalities ni victims wa vita tu
 
Wanaoandika ujumbe au kusoma ujumbe kwenye simu wakati wanaendesha gari umewaweka kwenye fungu la wazembe au data hiyo haikusanywi na Kitengo cha Takwimu!? Basi watu hao wanasabisha ajali mithili ya mlevi au hata kumzidi!
Kabisa kabisa!! Ni Hatari sana !!
 
wewe nawe ni mwandishi mkubwa ila ni mkubwa jau
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ€¨πŸ€¨πŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Muundo wa bodi la magari mengi kama Fuso huwa yanaongezewa ukubwa kuliiko uwezo wa jinsi lilivyoundwa huko China.

Hilo waliangalie watu wa TBS na LATRA juu ya uhuru usio na mpaka bodi za magari haya kuongezewa ukubwa wa kubeba mizigo, vifurushi na matenga mwishowe gari kuyumba, ku feli breki n.k kutokana na kutozingatia uwezo na usalama wa vyombo vilivyotakiwa kuwa na muundaji wa chombo hicho huko China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…