Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

Muundo wa bodi la magari mengi kama Fuso huwa yanaongezewa ukubwa kuliiko uwezo wa jinsi lilivyoundwa huko Mashariki ya mbali.

Hilo waliangalie watu wa TBS na LATRA juu ya uhuru usio na mpaka bodi za magari haya kuongezewa ukubwa wa kubeba mizigo, vifurushi, magunia ya lumbesa na matenga mwishowe gari kuzidiwa kuyumba, ku feli breki n.k

Kutokana ubunifu usio na mipaka pia kutozingatia uwezo na usalama wa vyombo vilivyotakiwa kuwa na muundaji halisi wa chombo hicho ajali nyingi zinaweza kutokea:

FUSO ZA 'SIDO' ZILIZOFANYIWA MODIFICATION: kujaza kadri inavyowezekana bila kuzigatia sayansi na vigezo vya usalama vya fizikia ya vyombo vya moto






Muonekano : FUSO ORIGINAL ZA MUUNDAJI iliyozingatia sayansi ya engineering na fizikia

 
Kwa picha ya hii fuso ndio unasema "unahisi" hakuna serious majeruhi au? Maana sijakuelewa "mwanabodi"😠
 

Kuna mapendekezo mabasi yasitembee usiku. Kwa mwendo huu isije kupendekezwa magari yasitembee mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…