Mfano, DIT walikuja na Taa solar za Barabarani , jambo ambalo nimeona ni mapinduzi makubwa sana ya maendelo ya barabaraNani alikuambia vyuo ndo vinatoa solution?
Serikali haina mkakati wa kutatua hizo changamoto.
Hivyo vyuo vitakuwa vinapoteza muda.
Kila dereva afuate sheria awe wa Jeshi wa Kiraia au Serikali,Serikali nayo kwa upande wake ijue majukumu yake kama kurekebisha barabara.
Wao huwa hawafi mkuu,si wanasimamisha wasafiri wengine wote ili wao wapite malori yanayofeli wanakutana nayo wapi??Ipo siku kuna kiongoz mkubwa atafia hapo ndipo serikali itakapo amka
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Prado inauzwa 500mil?Kwa hiyo hapo 500mil imekuwa written off?
Waweke Camera.Na madereva wasiofuata sheria jee? Tufanyeje?
Kwahyo wangekuwepo hapo inyala wangesaidia kulisukuma roli lililokata break lisigonge magari mengine? Unaongea pumba aseee
Yes hiyo ni PradoHio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada
Yaani maisha ni yako na unajua kabisa madhara ya kuendesha gari kwa mwendokasi, kisha unataka mpaka watu wengine (Askari wa barabarani) ndio wakuelekeze umuhimu wa kujali maisha yako? Hivi sisi watu weusi lini tutafikia hatua ya kuwa binadamu kamili?Trafiki warudishwe barabarani, hali inatisha
Waweke Camera.
Mimi mara ngapi nawapita, hawajui hata kukagua air brakes.Wangelikagua lori
Ami, acha ubishi.Kama barabara zenyewe mbovu hizo camera tutazimudu vipi?
Kuku kuku jogoo jinaHio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada
Eneseketesha sanaa 😔Madereva wa serikali wanaendesha kipumbavu Sana....ona Sasa amekatisha maisha ya pisi kali Kama hiyo daaah
Tena hizo center of gravity yake iko juu huwa zinawamwaga sana niliiona moja ile barabaraa ya Bulyankulu Kakola imewamaliza jamaa daah!.Hio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada