TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Nani alikuambia vyuo ndo vinatoa solution?

Serikali haina mkakati wa kutatua hizo changamoto.

Hivyo vyuo vitakuwa vinapoteza muda.
Mfano, DIT walikuja na Taa solar za Barabarani , jambo ambalo nimeona ni mapinduzi makubwa sana ya maendelo ya barabara

Hakuna linaloshindikana, vyuo vina wataalamu wengi tu, sijajua wapi wanafeli! vitengo vya research and development bado havifanyi vizuri.

Lakin maeneo yenye taa hasa kwenye cross road, hakuna sabab yoyote kwa serikali kuruhusu MAENEO HAYO KWA NAMNA YOYOTE KUKOSA TAA AU TAA KUZIMA, SABABU YA USALAMA WA RAIA
 
Hapo shamwengo panatakiwa tahadhari na subira sana kwa madereva uhai ni wako na hata ukipoteza maisha life ni yako.
 
Mbeya ni Mkoa wa Kishirikina, huwa kunatokea ajali zenye utata. Mkoa wa mbeya unahitaji maombi
 
Trafiki warudishwe barabarani, hali inatisha
Yaani maisha ni yako na unajua kabisa madhara ya kuendesha gari kwa mwendokasi, kisha unataka mpaka watu wengine (Askari wa barabarani) ndio wakuelekeze umuhimu wa kujali maisha yako? Hivi sisi watu weusi lini tutafikia hatua ya kuwa binadamu kamili?
 
Wapumzike kwa amani.

Inyala panamaliza sana watu serikali ya Tozonia ifanye jambo.

DED na dereva nasikia waliambiwa wasimame waache malori yapite wao wakakaidi. Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom