Mfano, DIT walikuja na Taa solar za Barabarani , jambo ambalo nimeona ni mapinduzi makubwa sana ya maendelo ya barabaraNani alikuambia vyuo ndo vinatoa solution?
Serikali haina mkakati wa kutatua hizo changamoto.
Hivyo vyuo vitakuwa vinapoteza muda.
Hakuna linaloshindikana, vyuo vina wataalamu wengi tu, sijajua wapi wanafeli! vitengo vya research and development bado havifanyi vizuri.
Lakin maeneo yenye taa hasa kwenye cross road, hakuna sabab yoyote kwa serikali kuruhusu MAENEO HAYO KWA NAMNA YOYOTE KUKOSA TAA AU TAA KUZIMA, SABABU YA USALAMA WA RAIA