TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Huo ndio mlima nyoka

Hapana , ukitokea dar unaanza mlima huo wa pipeline inyala unakwenda itewe ndo unafika mlima nyoka
Mlima nyoka sio maarufu sana kwa ajali,
Ukisikia ajali fatal kwa mbeya ni hapo inyala , mbalizi na uwanja wa ndege ukiwa unaelekea kyela
Uwanja wa ndege mitaa ya Kyimo kuitafuta Kiwira...sio...hatari sana
 
Inyala moja ya eneo hatarishi sana ukichukulia na ubovu wa barabara...
 
RIP wapendwaaa,.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mbona wamerudi kwa kasi ya 5G, ile ukisimama tu wanakuangalia usoni moja kwa moja, kiashiria kwamba toa hela utembeee, usipotoa unasikia tunataka kukufikisha mahakamani unasemaje?? Sijui wanajua watanzania wanaiogopa mahakama ama
Ni wajibu wao kuwepo barabarani kama ilivyo wajibu kwa wewe kusema uwongo kwa watu kila siku
 
Huwa inatokea ameaga anakwenda Dar halafu anachepuka juu kwa juu kwenda kwenye mishe zake, hii ilitokea kwa REO mmoja mwaka huu alichomoa gari bila RAS kujua, kufika Mikumi usiku ajali mbaya
Kwa wanasiasa naona hilo ni kawaida,ndiyomaana inashauriwa waishi kama Jokate.
 
Uwanja wa ndege mitaa ya Kyimo kuitafuta Kiwira...sio...hatari sana
Siku hizi labda , sijafika maeneo hayo kama 15 years back , palikuwa pana ajali mbaya sana maeneo hayo , ilichangiwa kwa kiasi kukubwa pia na tanroad , hawakuweka vibao vya kutahadharisha miaka ile .
 
Siku hizi labda , sijafika maeneo hayo kama 15 years back , palikuwa pana ajali mbaya sana maeneo hayo , ilichangiwa kwa kiasi kukubwa pia na tanroad , hawakuweka vibao vya kutahadharisha miaka ile .
Pale panatakiwa kuwa na barabara njia nne ili malori yapite njia yake
 
Tena hizo center of gravity yake iko juu huwa zinawamwaga sana niliiona moja ile barabaraa ya Bulyankulu Kakola imewamaliza jamaa daah!.
Prado kwa history hazijawahi kumiliki road stability.
Kuanzia model ya kwanza ile land cruiser 2 hadi hizi latest.
 
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya.


Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

ITV

==============================

Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wadaiwa kufariki dunia hii leo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala Mkoani Mbeya.

Kwa miaka yote aliyokuwa madarakani na hata akiwa waziri wa Ujenzi, Magufuli aliinyanyapaa barabara hii kwa matengenezo.
 
Unapendekeza nini kifanyike ili kupunguza ajali sasa? Au tukubali tuu watu wapukutike bararabani?
Hiyo milima ya huko mbeya inafahamika miaka nenda rudi....

Kuna huo baada ya Inyala...

Kuna ule ukiwa unaingia Mbalizi kutokea mbeya town.

Na kuna mwingine ukiwa ukiwa unaenda Tukuyu umetoka Uyole...n.k.

Ni milima ina ajali nyingi...

Badala ya kufanya mambo ya kiduanzi, Waweke hata gema katikati wakishatanua inaondoa sana Head on collions
 
Mbeya imesahaulika sana kwenye barabara, sijui Kama ni kwa bahati mbaya ama kusudi
Barabara ipo hizo ajali hasitokei kwenye mavumbi ila kwa sasa ni magari yameongezeka karibu twice so inatakiwa barabara Mpya kabisa maana TANZAM ndio barabara kuu kupita zote Tzn in terms of fraffic volumes.
 
Back
Top Bottom