Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Wenyeji wa mbeya yanajifanya watakatifu na washika dini, kumbe kifichoni ni mashetan washirikina wakubwa, kumtoa kafara ndugu au hata mtoto wa kumzaa hawaoni shida,Mbeya ni Mkoa wa Kishirikina, huwa kunatokea ajali zenye utata. Mkoa wa mbeya unahitaji maombi
Nje ya ushirikina, serikali hii ya kishenzi imeshindwa kabisa kutatua changamoto za miundombinu,
Mkoa wa mbeya ni tajiri na unachangia pato kubwa kwa taifa, lkn serikali haioni hilo, hawataki kuuendeleza huu mkoa, siku zote tunasema yakiwakuta wao na ndugu zao ndio watakumbuka kutatua hizi kero