Huo ndio mlima nyoka
Uwanja wa ndege mitaa ya Kyimo kuitafuta Kiwira...sio...hatari sanaHapana , ukitokea dar unaanza mlima huo wa pipeline inyala unakwenda itewe ndo unafika mlima nyoka
Mlima nyoka sio maarufu sana kwa ajali,
Ukisikia ajali fatal kwa mbeya ni hapo inyala , mbalizi na uwanja wa ndege ukiwa unaelekea kyela
Huwakwepi ila unapunguza usumbufuUtapitia barabara ganii ambapo hawapo?
Utapitia barabara ganii ambapo hawapo?
Who cares? Kwani nyie magamba kwa jinsi mlivyokuwa mnawatesa na kuwaua wapinzani mlidhani nyie hamtakaa mfe?Akifa wa ccm machadema ndo huwa yanafurahi sababu wao hawafi.
Mbeya imesahaulika sana kwenye barabara, sijui Kama ni kwa bahati mbaya ama kusudiMambo yakiwa hivi bila shaka sasa watajenga hiyo barabara ila wasipokufa Hawa hakuna mtu atajali maisha ya watu wa kawaida wa Mbeya..
Ni juzi tuu VP alikuwa hapo hapo akijifanya kutoa maelekezo..
R.I.P Madam.DED.
Wewe ni wa ovyo sana na zaidi ya sana tena kwa kasi ya 5G ozone layer
Wewe unafikiri angefanyaje?Kwa hyo tirafiki angekuwepo angelizuia Hilo Lori?
Ni wajibu wao kuwepo barabarani kama ilivyo wajibu kwa wewe kusema uwongo kwa watu kila sikuMbona wamerudi kwa kasi ya 5G, ile ukisimama tu wanakuangalia usoni moja kwa moja, kiashiria kwamba toa hela utembeee, usipotoa unasikia tunataka kukufikisha mahakamani unasemaje?? Sijui wanajua watanzania wanaiogopa mahakama ama
Kwa wanasiasa naona hilo ni kawaida,ndiyomaana inashauriwa waishi kama Jokate.Huwa inatokea ameaga anakwenda Dar halafu anachepuka juu kwa juu kwenda kwenye mishe zake, hii ilitokea kwa REO mmoja mwaka huu alichomoa gari bila RAS kujua, kufika Mikumi usiku ajali mbaya
Ilikuwa kwa wapinzani.Mbeya imesahaulika sana kwenye barabara, sijui Kama ni kwa bahati mbaya ama kusudi
Siku hizi labda , sijafika maeneo hayo kama 15 years back , palikuwa pana ajali mbaya sana maeneo hayo , ilichangiwa kwa kiasi kukubwa pia na tanroad , hawakuweka vibao vya kutahadharisha miaka ile .Uwanja wa ndege mitaa ya Kyimo kuitafuta Kiwira...sio...hatari sana
Pale panatakiwa kuwa na barabara njia nne ili malori yapite njia yakeSiku hizi labda , sijafika maeneo hayo kama 15 years back , palikuwa pana ajali mbaya sana maeneo hayo , ilichangiwa kwa kiasi kukubwa pia na tanroad , hawakuweka vibao vya kutahadharisha miaka ile .
Prado kwa history hazijawahi kumiliki road stability.Tena hizo center of gravity yake iko juu huwa zinawamwaga sana niliiona moja ile barabaraa ya Bulyankulu Kakola imewamaliza jamaa daah!.
Kwa miaka yote aliyokuwa madarakani na hata akiwa waziri wa Ujenzi, Magufuli aliinyanyapaa barabara hii kwa matengenezo.Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
ITV
==============================
Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wadaiwa kufariki dunia hii leo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala Mkoani Mbeya.
Hiyo milima ya huko mbeya inafahamika miaka nenda rudi....Unapendekeza nini kifanyike ili kupunguza ajali sasa? Au tukubali tuu watu wapukutike bararabani?
Sawa kabisaPale panatakiwa kuwa na barabara njia nne ili malori yapite njia yake
Barabara ipo hizo ajali hasitokei kwenye mavumbi ila kwa sasa ni magari yameongezeka karibu twice so inatakiwa barabara Mpya kabisa maana TANZAM ndio barabara kuu kupita zote Tzn in terms of fraffic volumes.Mbeya imesahaulika sana kwenye barabara, sijui Kama ni kwa bahati mbaya ama kusudi