Yaani wewe jamaa una akili moja ya hovyo!Akifa wa ccm machadema ndo huwa yanafurahi sababu wao hawafi.
CCm laana itawatesa Sana Yani hata kwenye kifo wanaleta siasa, Kama ndivyo basi mwanachadema akifa azikwe na wanachadema hivyo hivyo mwanaccm,Sio rahisi chadema kufurahia kitu wasichoweza kukipata... hapo ni nafasi ya ulaji kwa mtu mwingine toka CCM.
Mwezi wa tisa huu mwezi wa marejesho ya hesabuEneseketesha sana. Ajari zimekuwa nyingi. Mwenyezi Mungu atuepusha na hizo mauti, mbona zimezidi
Kweni hawapo?Trafiki warudishwe barabarani. Hali inatisha.
Hataree sana, Mungu atufiche kwa mbawa zakeMwezi wa tisa huu mwezi wa marejesho ya hesabu
Hawatoshi basi. Waongezwe.Kweni hawapo?
Kwa hiyo hapo 500mil imekuwa written off?
Huyo ANAPOTOSHA.....Case ameshapewa dereva wa lorry tena!!!
Hiyo gari ya ded kwa ilivyoharibika haijagongwa imejiinjika yenyewe kwenye kitu kizito mpaka ikapoteza identity.
Hawa wadau wanakimbiza sana gari.. Bila kusoma mchezo,Hio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada
Kikao mzeeDED wa Igunga anatafuta nn Mbeya?
Mimi niko Barabarani karibia kila siku,hao Matrafiki wanatusumbua sisi, ila Madereva wa Gari za Serkali huwa hawaguswi, tena wengine huwa wanawasha na Vimulumuli.Hawatoshi basi. Waongezwe.