TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

maulidkitenge~p~CiflF7LtXU-~1.jpg


Ded Igunga na dereva wake wamefariki kwenye mbaya huko Mbeya
 
DED wa Igunga Fatuma Latu amefariki dunia muda huu ktk ajali akitokea kwenye kikao cha ALAT Mbeya.

View attachment 2357009
PICHA: Muonekano wa gari iliyombeba DED baada ya kupata ajali
Mambo yakiwa hivi bila shaka sasa watajenga hiyo barabara ila wasipokufa Hawa hakuna mtu atajali maisha ya watu wa kawaida wa Mbeya..

Ni juzi tuu VP alikuwa hapo hapo akijifanya kutoa maelekezo..

R.I.P Madam.DED.
 
Maisha ya mwanadamu sio kitu kwa kweli, lau tungejua tusinge jiinua kwa jinsi hii, yote ya yote mwenyezi Mungu amjalie pumziko jema la milele.
 
Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wadaiwa kufariki dunia hii leo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala Mkoani Mbeya.
Case ameshapewa dereva wa lorry tena!!!

Hiyo gari ya ded kwa ilivyoharibika haijagongwa imejiinjika yenyewe kwenye kitu kizito mpaka ikapoteza identity.
 
Back
Top Bottom