Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

Ajali Morogoro: Gari liliwekewa Mashada ya Maua na abiria waliomboleza ili kukwepa Doria ya Polisi

inasikitisha abiria wengi wanapenda kuwahi bila kutojali uhai wao,hii ni kwasababu ya woga,au kumuamini sana dereva, na kukosa umoja wa abiriria kuwa na sauti ya kuamuru dereva apunguze mwendo,pumziken kwa aman .
 
tuwe makin na hizi costa zinakimbiaga sana utazani upepo, wengi wanazitumia kwa safari za usiku dar to moshi
 
izo coaster zikichanganya kule mbele inanesa nesa utamu-utamu hadi raha,

ikiwa mpya ndio kabisa, ngoma inapiga 0 to 60 in 15 seconds

kwa mbaali ukisikilizia pistons zikilalamika kama uko karib na maeneo ya mbele pale

karaha ni hiyo ajali , poleni sana wafiwa
 
Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Unamaanisha binadamu aliyekwishafariki angezuia vifo au angezuia ajali au angezuia dreva asijifanye anaenda kwenye msiba au angezuia isitangazwe? Yaani angezuia nn? Au angezuia Trafik kuruhusu gari la msiba lisiendelee na safari?
 
Hapo oil com huwa zinatokea sana ajari, sijui kuna nini hata.
Hiyo sehem inavutia kukanyaga wese
Pako tofautia sana.

Embu fikiri umetoka huku kasanga umejiachia alafu pale kama pamejificha ivi na mitimiti
 
Abiria nao wameyataka,
Gari umelipia nauli yako unaamrishwa ugeuke muombolezaji unakubali?

Anyway
Katika mazingira kama haya lazima abiria kuna ahueni kaipata hivyo lazima uwe mpole..
Hapo either walikosa usafiri wakabahatisha hilo..
Au Nauli wamebembereza.

Kama mpk mashada wanayo, kuna uwezekano Walikua wanaend kuchukua maiti au wametoka kuipeleka hivyo gari ikawa tupu ikabidi wadange..

Jini limekula mganga.
 
Hakuna kulala hizo wengi tunazipanda sana kuwahi kariakoo na kuwahi kurudi mkoa kumbe muda mwingine unaweza kuwa unawahi na kifo😒😒, Mungu atunusuru ambao tunazitumia kama mkombozi wa kupunguza gharama za kulala dar. Wapumzike kwa amani hao ndugu zetu.
 
Hapo oil com huwa zinatokea sana ajari, sijui kuna nini hata.
Ni sehemu moja ambayo kwa dereva anayechukua tahadhali hiyo sehemu ni kama ina mvutano hivi hauelezeki, lakini sio sehemu salama sana kwa nguvu tu za kibinaadam, hiyo sehemu nimekuwa nikipita mwili unasisimka kabisa, yaan unastukia tu ushalizua la kuzua. Kuna vipande huwa siviamini kabisa, mikese- moro, segera- tanga- na kipande cha dumila- gairo, huwa naongeza umakini sana njia hizo,
 
Hizo ndio 'hakuna kulala' watumiao huduma zake wanaziju.
 
Pia ni ajali tu kama zingine kuepukika ni ngumu aisee
 
Back
Top Bottom