Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Ongeza na kipande cha Mikumi to KilomberoNi sehemu moja ambayo kwa dereva anayechukua tahadhali hiyo sehemu ni kama ina mvutano hivi hauelezeki, lakini sio sehemu salama sana kwa nguvu tu za kibinaadam, hiyo sehemu nimekuwa nikipita mwili unasisimka kabisa, yaan unastukia tu ushalizua la kuzua. Kuna vipande huwa siviamini kabisa, mikese- moro, segera- tanga- na kipande cha dumila- gairo, huwa naongeza umakini sana njia hizo,
Ila sorry mkuu sijajua kwann nmecheka hii comment yako, sijacheka wewe kuburuzwa ila namna ulivowasilisha ujumbeHilo eneo la oil com niliwahi kuburuzwa na gari hapo ,sitakuja kusahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli yasingetangazwa. Jamaa alikúwa anapenda kuonekana "amemaliza" shida zote za Watanzania.Ingekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Jibu muruwaKwasababu usingesikia maana media zilipigwa ban
1HZ 6 cylinder ,Diesel engine 4200cc, chuma hicho sawa na V6 Landcuiser .izo coaster zikichanganya kule mbele inanesa nesa utamu-utamu hadi raha,
ikiwa mpya ndio kabisa, ngoma inapiga 0 to 60 in 15 seconds
kwa mbaali ukisikilizia pistons zikilalamika kama uko karib na maeneo ya mbele pale
karaha ni hiyo ajali , poleni sana wafiwa
Sidhani kama katika herufi 26 kwenye alfabeti ipo hata moja inayoweza kugredi alama zako za somo la Kusoma. Poor soul!!!Kweli yasingetangazwa. Jamaa alikúwa anapenda kuonekana "amemaliza" shida zote za Watanzania.
Ni wazi kwamba ama hujasoma nilichoandika au hujui kabisa kusoma; mengine ni nyongeza tu ya haya mawili.Kwasababu usingesikia maana media zilipigwa ban
Wakat wa jpm kuna upumbavu mwingi kuliko huo sema aliwalisha wajinga sumu wakamuona ni Mungu mtu !!! Kamfufueni kwa msaada wa gwajima
taja upumbavu mkubwa zaidi kuliko huo na useme pia ulijuaje wakati wengine tukilishwa sumu.Wakat wa jpm kuna upumbavu mwingi kuliko huo sema aliwalisha wajinga sumu wakamuona ni Mungu mtu !!! Kamfufueni kwa msaada wa gwajima
Acha wafariki kama waliamua kuomboleza msiba wasioujua.View attachment 1826436
Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai Wanawahi Msibani
Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.
Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.
My Take:
Gari ikisafirisha maiti huwa inapewa vibali na kuna nyaraka za kusafiri nazo,JE ZILIHAKIKIWA?, Lakini je Gari yenye maiti inaruhusiwa kukimbia zaidi ya mwendo halali?
Jeshi la polisi msikwepe hili lawama.
====
Watu Tisa wamefariki dunia huku wengine 23 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika eneo la Oil Com Manispaa ya Morogoro.
Ajali hiyo imehusisha magari matatu gari la Abiria Toyota Coster yenye namba za usajiri T686 DUK, iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya, Gari ndogo aina ya Crester yanye namba za usajili T563 ASA pamoja na Lori la Mizigo kampuni ya Dangote.
Wewe shoga usiniletee ushoga wako, umesikia? Narudia, usinieletee upuuzi wako!ni jambo bora zaidi kudeal na watu wapumbavu sehemu yenye watu timamu kama hii.
Ww ndio taga usiejua tunafahamu SSH ndie rais wa tz na shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM, may his precious soul rest in eternal peace and power, amen🙏) amerudi nyumbani kwa Muumba! Pia tunajua alikuwa mkweli kwetu watz, siyo kama saleout wengine 🤔! Tunaomba sana Mungu mama yetu huyu SSH atafuata nyayo za mtangulizi wake 🙏!Mwendakuzimu is dead and forgotten, mataga ni Muda sasa mkubali samia ndo rais na amir mkuu wa jeshi