Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

Tunduma, Songwe
Tanzania

Wafunga barabara kudai matuta, kufuatia ajali nyingi za waenda kwa miguu

Mkuu ninamfikiria dereva wa bus na lorry kuwa graduate. Ninafikiria mwendo wa juu kuwa 80km/h, hadi kwa gari la polisi.

Kwa kweli ajali zitakwisha na kama ni kupungua, basi itakuwa ni nadra mno na madhara hayawezi kuwa ya watu 12 kirahisi rahisi hivi.
Kumchukua university graduate kumpeleka kuendesha gari, hii ni kupoteza human resources. Cha msingi, madereva waive kimafunzo huko wanakosomea, mtu asipate cheti kama hajafuzu, na asipate ajira (ya udereva) kama hana cheti kinachotambulika na serikali!
 
Graduates wenyewe hawana ajira wako mtaani. Zingatia basi moja zaidi ya 300m/- wakabdlidhiwa hawa?

RIPOTI MAALUMU: Malori yanavyoweka rehani roho za watu
 
Back
Top Bottom