Kumchukua university graduate kumpeleka kuendesha gari, hii ni kupoteza human resources. Cha msingi, madereva waive kimafunzo huko wanakosomea, mtu asipate cheti kama hajafuzu, na asipate ajira (ya udereva) kama hana cheti kinachotambulika na serikali!