halafu mtu anakuja kusema ajali ichunguzwe kwanini kaungua watu wana matatizo ya akili halafu wanakuja kuandika ujinga humuKama hiyo ajali ni ile nliyoshuhudia na kama ni yeye alifariki katika hiyo ajali, hakuna ambaye angeweza kumtambua mda ule hata baada ya 24 hours.
Ajali ilikuwa ni mbaya sana tulishindwa kulitambua gari lenyewe .!