Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tangu lini mfumo ukajichunguza mkurugenzi!! Hata mimi nilishangaa! How come Balozi asafiri peke yake usiku, halafu kwenye gari ya kawaida kabisa; Toyota Crown athlete!!!Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Yaani Balozi mzima akose dereva wa kumuendesha!! Asafiri usiku kwenda Moshi na gari ndogo, na wakati angeweza kupanda ndege alfajiri na kuingia huko Moshi mapema kabisa!!! 🤔