halafu mtu anakuja kusema ajali ichunguzwe kwanini kaungua watu wana matatizo ya akili halafu wanakuja kuandika ujinga humuKama hiyo ajali ni ile nliyoshuhudia na kama ni yeye alifariki katika hiyo ajali, hakuna ambaye angeweza kumtambua mda ule hata baada ya 24 hours.
Ajali ilikuwa ni mbaya sana tulishindwa kulitambua gari lenyewe .!
Hivyo vyote unaweza ukaset kama kwenye movie tu.Gari ilipata ajali
Aligongana na Lory gari yake ikawaka moto
Lory iliungua yote cabin
Lorremipsumdollor?Inzi walidhani ukweli hautajulikana, balozi unabaka? Ni aibu isiyoelezeka. Sijawahi sikia, nimeisikia kwa balozi wa samia
Ichunguzwe na nani sasa, Interpol?Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Hiyo wahuni wanajazia tu. Hakuna uhakika na hiloNa aliyetext "baby can you fly to KIA?" Alikuwa CCM?
mfano wako sasa!!Uzoefu utaupataje kama huanzi mdogo mdogo safari za mbali? Hata mwizi hupata uzoefu kwa kuanzia na udokozi. Au nasema uongo ndugu zangu.
Hivyo vyote unaweza ukaset kama kwenye movie tu.
Watu wanahoji inakuwaje balozi asafari peke yake tena usiku wa "Maanani"? Inakuwaje Balozi anafariki J4 taarifa zinatoka alhamis? Kwanini serikali haipaerticipate kabisa wameaachia ndugu? Taarifa za gari kuunguza zilitoka J4 zikisema ni mwanammke ila umiliki ni wa Mushi(Balozi) lakini hakuna hata polisi aliyetolea ufafanuzi wala Gerson Msigwa.
Taarifa za kifo chake hazijatoka ila wametoa tetesi tu za ubakaji then baadae tunasikia amefariki? Why zianeze tetesi au ni settings?
Na hilo nalo mkalitazame.mfano wako sasa!!
Umechomwa na naniNatoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Nani unataka achunguze Sasa. Mfano kama TISS ndo wamemuua unataka wao ndo wajichunguze halafu waseme kwamba walimuua au? Ni sawa na pale mlipokuwa mnasema eti ile assassination attempt kwa lisu eti serikali ichunguze. Hivi polisi wafanye tukio halafu wajichunguze wenyewe! This is very contradictory.Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua.
Zipo tetesi kwamba Balozi huyu alikwishafukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji, sasa hizi tuhuma na hiyo ajali, na Mwili kukutwa umeungua, yanahitaji Ufafanuzi wa kina.
Naomba kuwasilisha.
Tehteh,wakati hizo crown zinatoka dar to Zambia mpaka CongoKwanini watu wanahoji eti kwanini aendeshe Crown?
Ingekuwa mkokoteni sawa sasa walitegemea aendeshe nini sielewi kabisa
Watu mnapangia maisha ya mtu mbona Rais masikini duniani alikuwa na vw iliyochoka?
Maisha ya mtu ni yake na mpaka wengine huwa wana double life so what
Hivyo vyote unaweza ukaset kama kwenye movie tu.
Watu wanahoji inakuwaje balozi asafari peke yake tena usiku wa "Maanani"? Inakuwaje Balozi anafariki J4 taarifa zinatoka alhamis? Kwanini serikali haipaerticipate kabisa wameaachia ndugu? Taarifa za gari kuunguza zilitoka J4 zikisema ni mwanammke ila umiliki ni wa Mushi(Balozi) lakini hakuna hata polisi aliyetolea ufafanuzi wala Gerson Msigwa.
Taarifa za kifo chake hazijatoka ila wametoa tetesi tu za ubakaji then baadae tunasikia amefariki? Why zianeze tetesi au ni settings?
Mmmh wabongo shikamooniKwaiyo mnafananisha na ya Katibu wa kanisa la Mkandamizaji?
Wamewachoka nyie wanatafuta radha nyingine mpyaCCM wamekithiri kwa maovu. Wanabaka hadi nje ya nchi?
Tatizo Tanzania wengi ni waandika habari na si Wandishi wa Habari.Mbali na masikitiko ya kifo cha Balozi, inasikitisha zaidi sana kuona mwandishi anadanganya/anachanganya hadharani kuwa Bolozi Mushi alikuwa Balozi wa Tanzania "Australia" na siyo "Austria"