Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Nimemsikia Mkuu wa Wilaya ya Handeni Nchembe anasema kuwa walifika wakakuta hatambuliki.

Shemeji yake anadai kuwa waliona cheni ndo wakajua ni yeye

Hii kitu ina mambo mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Police ndo waliomwambia shemeji kuwa alikuwa amevaa cheni ndo maana watu walifikiri ni mwanamka ndo aliekuwa anaendesha. Shemeji kasema wamemtambua kupitia mabaki ya nguo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo ajali ni ile nliyoshuhudia na kama ni yeye alifariki katika hiyo ajali, hakuna ambaye angeweza kumtambua mda ule hata baada ya 24 hours.

Ajali ilikuwa ni mbaya sana tulishindwa kulitambua gari lenyewe .!
Kwani gari lilitengenezwa kuwa bomu, na nani, yeye mwenyewe?
 
Sijui kwanini ila mazingira ya aliyekua Gavana wa Benki kubwa yananijia Mara Kwa Mara Kila nikitafakari hili tukio.
 
Mbinu iliyotumika kuficha mauaji ni ya kifala Sana hata mtoto wa darasa la pili hawezi kukubali kifo hiki
Mission accomplished! The end justifies the means! Yaani wakipanga kukuua wanaweza kutumia njia yoyote!! Hata kutuma mbwa wako akung'ate kama yule mzee au mnyampaa idodomya kina arnold schwarzeneger kwenye majengo ya bunge kweli saa zingine wanapagawa wakipanga kuua mtu!!

Mi najua nitakufa ila kuna mazee yanaongoza nchi hii siku yakifa kabla yangu nitashangilia! Watu wabaya huishi sana mazee ya sisiemuuu hayafi aisee!
Nchi ya bongo haina raha kabisa kuishi sababu ya haya mashetani yanayosubiriwa na shetani huko jehanam , mazee ya system yamejaa akili za kimaskini kuwatesa raia ndo raha yao mazombie haya, umeme yanakata tu eti sasa imekuwa anasa , maji yanakata , mwendokasi hadi mjazane kama magimbi au nyanya kituoni ndo gari iondoke joto kama jehanam, Nyerere Dam haimalizwi makusudi, SGR inasua sua, vijana hawana ajira, kwenye kata mnahamishwa kujiunga vikundi mkikamilisha taratibu ndo mnagundua kumbe mikopo hakuna manispaa ni siasa tu na mnakuwa mmepoteza pesa zenu, tunasikia mabehewa yamenunuliwa ya zamani kuendekeza tabia za kimaskini tu , ona behewa jipya tsh mf laki hudumu miaka 50 , behewa used bei mf elfu 40 hudumu miaka 10 , je behewa lipi litarudisha pesa?
 
hao kamati ya ulinzi walifikaje usiku huo?? ili hali ni ajali ya kawaida tuu???

..kwani kamati ya ulinzi hawapaswi kufika eneo la tukio la ajali ikiwemo barabarani?

..kama ingekuwa ni ajali ya kutengeneza, unadhani wahusika wangekuwa kamati ya ulinzi, au genge la wasioujulikana?

..bado sijashawishika kwamba hii ni ajali ya kutengeneza.
 
Kwa kweli ajar ilikuwa mbaya sana maiti alikuwa anakunywa maji mtoni jamani nikamuuliza Mh BAlozi mbona una Jamba akasema amepata ajaru
 
..kwani kamati ya ulinzi hawapaswi kufika eneo la tukio la ajali ikiwemo barabarani?

..kama ingekuwa ni ajali ya kutengeneza, unadhani wahusika wangekuwa kamati ya ulinzi, au genge la wasioujulikana?

..bado sijashawishika kwamba hii ni ajali ya kutengeneza.
Mwili umeungua Kwa kufikia stage gani?

Mwili unatambulika?

Kama hapana wafanye autopsy na ku cross check DNA kama Zina match..

Eben Ezer
 
Kwamba Balozi anajiendesha!
Tena Toyota Crown!
Bila hata Mpambe!
Bila hata V8 la wizara!
Halafu anagongana na gari ya makaa ya Mawe!
Njia ile ambayo siyo ya kusini!
Halafu anatambulika chap,kwa kutumia identity ya gari,badala ya DNA!

Wacha iendelee kunyesha tuyaone matobo.
Alamsikhi.
10101.
 
Back
Top Bottom