milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kwa uongozi upi😳Tatizo lipo pande mbili, kutofuata sheria lakini pia miundo mbinu sio rafiki. Baada ya kukamilika miradi iliyopo sasa ya SGR, BWAWA, MADARAJA, nk. Ingependeza sasa Mradi mkubwa uwe wa kuweka Barabara Nne za Njia kuu zote nchini. Itasaidia kupunguza ajali kwa asilimia kubwa sana.
UTASHI ndio jambo la msingi. Madaraja, SGR n.k ni uongozi uleule ulipoamua.Kwa uongozi upi😳
Halafu bima mbona kama ndogo maskinAjali hii imeua mwalimu mstaafu ,mwanamke mwalimu Ayo, alikuwa ametoka kupata mafao yake yaliyopelekea pia kununua gari mpya.
Kwenye gari alikuwa na mwanaye wa kiume ( dereva) , akiwepo pia rafiki wa mtoto wa mwalimu ambaye ni dereva.
Gari ni mpya kabisa na imesajiriwa jana.View attachment 3221517
Ni huzuniAfter bima mbona kama ndogo maskin
Wataambulia mabati tu
Pombe kidogo madhara makubwa.Elimu,watu wengi wamejua kuendesha gari au chombo chochote bila kupata elimu ya u driver hii inawafanya waone Kila kitu sawa TU
Lakini kingine ni ujinga nyuma ya usukani hii inaumiza wengi
Huu ndio ukweli. Madereva wengi wazembe na wapumbavu ndio chanzo kikuu cha ajali Tz. Hii kusema miundombinu ni kichaka cha kuficha uzembe na uoumbavu wa maderev wengi.80% ya ajali zote ni wrong driving[makosa ya binadam],15% ni ajali zinazosababishwa na hali ya hewa mbaya eg mvua,ukungu barabarani,n.k, na 5% ndio zinasababishwa na miundo mbinu,hiyo ni kwa mujivu ya shule fupi ya driving niliyopitia
Madereva hawajali kabisa sheria za barabarani. Majitu yanapita taa nyekundu,yanaendesha wrong way,yanaegesha gari pipote bila kujali wengine yaani kama mbuzi wanaendesha magari.Na ndio ukweli we unaweza kufata sheria akaja mwingine akakuletea shida
Nadhani tz ni Moja kati ya nchi watu hawafati sheria duniani na sio TU barabarani Bali kwenye mambo mengi zikiwemo ofisi
Ukiendesha njia kuu utaona hawa wapumbavu wengi sana. Mmoja akiovateki nao wanafuata nyuma kama nyumbu kumbe mwenzao kakadiria gap lake dogo matokeo yake ndio haya.Si umeona huyo wa rav4,alikua anamfuata Kidia bila kuchukua tahadhari yake binafsi,shuleni tumefundishwa somo la tuwe na udereva wa kujihami,akauziwa kicheche,hakufuata sheria za driving,kwamba uovertake tu pale unapojihakikishia usalama wako kwanza.
Shule haijawahi kudanganya,ni kama kioo vile
Kwenye barabara za tz hususani dar labda mataa pekee ndio watu wanaogopa traffic ila kwingine dah!!Madereva hawajali kabisa sheria za barabarani. Majitu yanapita taa nyekundu,yanaendesha wrong way,yanaegesha gari pipote bila kujali wengine yaani kama mbuzi wanaendesha magari.
Hili jambo huko juu nimelizungumzia wana wakapingaKila kifo hakikosi sababu lakini barabara ya njiapanda ya himo Hadi Moshi mjini Ina msongamano Sana WA magari pia ni nyembamba mnoo. Kifupi ku overtake ni ku bet maisha yako.
Moshi na arusha ni mikoa ya kitalii kwanini serikali. Haipanui ile barabara? Hata pale sha tours ajali ni kila siku za magari na watu. Tena ajali za shoo kwa shoo.
Madereva nao inabidi wayaelewe hayo maeneo wajue nini cha kufanya.
Ile barabara inaunganisha mikoa ya Kilimanjaro, arusha, manyara, dodoma hadi kanda ya ziwa. Pia inapitisha magari yanayotoka nje ya nchi pia ikiwemo kenya, Uganda na kwingine... Kwanini haipanuliwi imekaa tu kama barabara ya mtaa?
Kwa wembamba wa barabara ile kuna siku naingia town kwa boda asee side mirror ya boda ilipigwa mzinga na gari ndogo ni Mungu tu hatukuyumba tukapelekwa katikati. Nilimlipa boda nauli ya kwenda na kurudi Ila nilimwambia aniache tu ntarudi mwenyewe na nauli nkasemehe.
Sijakuelewa! Waliokufa mmoja ana miaka 61, eliud ana miaka 65, dereva ana miaka 25.Mama mwalimu kapokea pension kamchukuwa kijana wake twende dar tukachukuwe gari
Kufika wakamlipa dereva awapeleke Arusha na chuma mpya, familia imempoteza kijana na mama yake mzazi na dereva waliyemkodi. Inasikitisha sana
Hakika mkuu,binadam tunaoenda sana kulazimisha halafu baadae tunamsingizia MunguUkiendesha njia kuu utaona hawa wapumbavu wengi sana. Mmoja akiovateki nao wanafuata nyuma kama nyumbu kumbe mwenzao kakadiria gap lake dogo matokeo yake ndio haya.
Hakika mkuuHuu ndio ukweli. Madereva wengi wazembe na wapumbavu ndio chanzo kikuu cha ajali Tz. Hii kusema miundombinu ni kichaka cha kuficha uzembe na uoumbavu wa maderev wengi.
Malizia au andika ushauri kwa serikali yetu,,,Serikali waimarishe miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji ya vyombo vya moto .