Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Why wasimmwagie mchanga lakini wanapiga picha?

Ni wa kufunga jela wote
 
Hata mchanga tu
 
Left keeping rule alwayz inaokoa sana.

Ukikutana na nunda lipo speed sana halafu lipo katikati ya barabara au limezidi sana kulia kwake halafu na wewe umezidi kulia kwako,kifuatacho ndio kama hiyo ajali
 
Mudy kibadulaah wa majimatitu, maliasili mbagala....acha kazi ya bodaboda jitafute kwengine ndgu yangu
 
Mtu anapita na gari why asitoe msaada wa fire extinguisher!

Cha ajabu pia wanazima huku wanamuangalia akiungua badala wamvute na kumuweka pembeni.

Boda boda acheni kuendesha speed, leo yametokea hayoo, cha ajabu others hawajifunzi.
 
Kizazi chenyewe cha sahvi hiki
Kutwa kukata mauno....

Ova
 
Kweli wabongo wengi ni waoga sana, wakaishi nchi zenye vita wakajifunze kitu.

Yani mtu anaungua halafu unamwangalia hata kutoa msaada wa kumvuta na kumuweka pembeni! Hii ndio Afilika Afilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…