ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Nimeamini wasukuma ni watu wa hovyo, yaani mtu anaungua liko linarekodi tu na kusema "halafu huyu bado mzima". Ni nini kiliwafanya wasimvute kumuondoa pale kwenye moto huyo aliyekuwa anaungua?Ila watanzania ni watu wa hovyo sana. Yani limtu limekomaa ku record tu badala ya kutoa msaada linaropoka ropoka tu.