Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ila watanzania ni watu wa hovyo sana. Yani limtu limekomaa ku record tu badala ya kutoa msaada linaropoka ropoka tu.
Nimeamini wasukuma ni watu wa hovyo, yaani mtu anaungua liko linarekodi tu na kusema "halafu huyu bado mzima". Ni nini kiliwafanya wasimvute kumuondoa pale kwenye moto huyo aliyekuwa anaungua?
 
Hao jamaa barabara nzima ni ya kwao hawana upande na wanakera vile wanaku-overtake kupitia upande wa kushoto kwako.

Tena ukute kakalia tako moja ni balaa tupu ni ngumu mno mwenye gari kutoa extinguisher yake kwa ajili ya boda ukizingatia wenyewe huchoma magari hata uzembe ukiwa wa kwao.
 
Nimeamini wasukuma ni watu wa hovyo, yaani mtu anaungua liko linarekodi tu na kusema "halafu huyu bado mzima". Ni nini kiliwafanya wasimvute kumuondoa pale kwenye moto huyo aliyekuwa anaungua?
Kw haraka haraka tabia ya Bodaboda imeshachosha kila mtu. Ndio maana unaona msaada mpaka waje wenzao. Kwa kifupi bodaboda wajitathmini.
 
Watu badala wafanye uokoaji,naona wanachukua muda mwingi ku record video tu

Ova
 
Amepona.
Huoni "ameokolewa"!?
Ajali mbaya sana.
Na Mzizi Mkavu alikuwepo.
Either itakuwa Mzizi Mkavu au Mshana Jr.
Yule amechelewa sana kuona yule mtu hajakufa.
Anasema,"Nadhani huyu mtu no mzima",wakati sisi tumeshaona.
I mean baada ya kupelekwa hospitali, huoni amekaa muda mrefu na moto mwilini (Deep burn) achilia mbali majeraha aliyopata baada ya kudondoka na hiyo pikipiki? Ndiomana nimeuliza huko hospitali amepona?
 
Kuzaliwa tz ni michosho sana

Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?

Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher
Nimewaza sana NIkagundua Tanzania Ni taifa la watu Wapumbavu sana...
 
Daaahh, huyu aliyeungua kulikuwa na uwezekano wa kumvuta fast kutoka kwenye moto maana sehemu ya kichwa ilikuwa inaweza kushikika kabla hajajigeuza ila watu wamezingua.
 
Amepona.
Huoni "ameokolewa"!?
Ajali mbaya sana.
Na Mzizi Mkavu alikuwepo.
Either itakuwa Mzizi Mkavu au Mshana Jr.
Yule amechelewa sana kuona yule mtu hajakufa.
Anasema,"Nadhani huyu mtu no mzima",wakati sisi tumeshaona.
Aliyeungua amepona?
 
Kuna watu wanatoa tu malezi lakini hawashiriki...usimwage maji lakini hana analofanya...mtu anaungua wanabaki kulalia tu bila msaada
 
Back
Top Bottom