fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
๐๐ waneenda na muda mkuuIla bodaboda wana wenge sana
๐ au tank lile lilipo na petrol linawalevyaga ๐
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐ waneenda na muda mkuuIla bodaboda wana wenge sana
๐ au tank lile lilipo na petrol linawalevyaga ๐
Ova
Hakika aiseeHongera sana mkuu, unajal uzima wako na ustawi wa familia. Hawa wehu muda mwingine ni kuwakimbia tu uwaachie barabara ukishindana nao wanakuua.
Kuna siku moja pale mataa ya moroco wakati wanasikilizia kuvuka si unajua wanavyojana pamoja,sasa kwenye kutoka wote ile si wakaparamiana ๐๐๐ waneenda na muda mkuu
Ni kweli ajali huweza kutokea kwa watu wote lakini kwa bodaboda ni tofauti sana kwani wao boda ni kama wanaitafuta ajali kwa nguvu - wanajitakia. Ingelikuwa ni afadhali uwaite hao maboda boda miwatu (plural for limtu) kwa sababu wanaonywa kila siku lakini hawasikii wamekuwa wakaidi sugu. Kwani akiendesha speed ya wastani na kuchukua tahadhari kwa kuzingatia kwamba ajali inaweza kutokea, hatofika aendako?Ajali hapati bodaboda tu. Siku zote inapotokea janga lolote common sense ni kutoa msaada kwa waliofikwa na tukio. Sasa kama unaona mtu anateketea kwa moto badala ya kusaidia wewe una record video una sifa ya kuwa mtu au limtu?
Muda wa kuiwahi ajali? au๐๐ waneenda na muda mkuu
Kupata habari ya mtu anaungua mpaka anateketea na kumuokoa mtu asiungue kipi bora wewe mpumbavu? EconometricianSasa wasingerekodi ww ungepataje habari?
Nimeandika nikiwa na akili timamu wala sio msisimkoBro weka akiba ya maneno punguza kuandika vitu ukiwa na misisimko huyo ni mtu kama ulivyo wewe hakuomba aanze siku kwa kupata ajali au kuungua moto.
Tuwe na utu!
Nimeandika nikiwa na akili timamu wala sio msisimkoBro weka akiba ya maneno punguza kuandika vitu ukiwa na misisimko huyo ni mtu kama ulivyo wewe hakuomba aanze siku kwa kupata ajali au kuungua moto.
Tuwe na utu!
Vyovyote vile ila ukweli lazima usemweUna roho mbaya!!
Wanazingua sana bodabodaHawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Mkuu; Inategemea mazingira yaliyopelekea mtu huyo kuungua moto. Kama mtu huyo amejitakia mwenyewe na labda mafuta (Petrol) yamesambaa, ww chukua tahadhari na usiijiingize kati eti unaenda kumuokoa anayeungua moto huenda na ww utaungulia hapo. Je, ww utaitwa mwerevu auKupata habari ya mtu anaungua mpaka anateketea na kumuokoa mtu asiungue kipi bora wewe mpumbavu? Econometrician

Wakatoka wote kwa speed moja ๐Kuna siku moja pale mataa ya moroco wakati wanasikilizia kuvuka si unajua wanavyojana pamoja,sasa kwenye kutoka wote ile si wakaparamiana ๐
Ova
SIjaona abiria ila kama yupo natumaini anendelea vizuriNdugu uko na moyo katili sana....je huyo abiria naye umemjumlisha?
This is InhumanHawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Umeandika ukweli hata kama unauma. Hata mm naunga mkono maneno uliyoandika. Mtu kuwa na utu ni pamoja na kupokea ushauri na kusikiliza kile wanachokuambia wenzako. Lakini kwa boda boda sio.Nimeandika nikiwa na akili timamu wala sio msisimko
Big NO. Many people have tried their level best to advice these Dudes but nothing is coming out. They always respond negatively. Henceforth, let's also react negatively when they get involved into accidents.This is Inhuman
Hujafa hujaumbika mzee, kila la kheri.Big NO. Many people have tried their level best to advice these Dudes but nothing is coming out. They always respond negatively. Henceforth, let's also react negatively when they get involved into accidents.
UKO SAHIHI SANA,Hawa jamaa acha wafe tu michosho sana