Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

Ajali hapati bodaboda tu. Siku zote inapotokea janga lolote common sense ni kutoa msaada kwa waliofikwa na tukio. Sasa kama unaona mtu anateketea kwa moto badala ya kusaidia wewe una record video una sifa ya kuwa mtu au limtu?
Ni kweli ajali huweza kutokea kwa watu wote lakini kwa bodaboda ni tofauti sana kwani wao boda ni kama wanaitafuta ajali kwa nguvu - wanajitakia. Ingelikuwa ni afadhali uwaite hao maboda boda miwatu (plural for limtu) kwa sababu wanaonywa kila siku lakini hawasikii wamekuwa wakaidi sugu. Kwani akiendesha speed ya wastani na kuchukua tahadhari kwa kuzingatia kwamba ajali inaweza kutokea, hatofika aendako?
 
Kupata habari ya mtu anaungua mpaka anateketea na kumuokoa mtu asiungue kipi bora wewe mpumbavu? Econometrician
Mkuu; Inategemea mazingira yaliyopelekea mtu huyo kuungua moto. Kama mtu huyo amejitakia mwenyewe na labda mafuta (Petrol) yamesambaa, ww chukua tahadhari na usiijiingize kati eti unaenda kumuokoa anayeungua moto huenda na ww utaungulia hapo. Je, ww utaitwa mwerevu au
Kutoa habari kunaweza kuwa ni fundisho kwa boda wengine ili wajiepushe na mtindo huo wa kutojali, kuendesha rafu nakutozingatia matumizi sahihi ya barabara.Boda wanadhani barabara yote iko kwa ajili yao tu na ni mali yao pekee watumie wanavyojisikia. :KEKBye:
 
Kuna siku moja pale mataa ya moroco wakati wanasikilizia kuvuka si unajua wanavyojana pamoja,sasa kwenye kutoka wote ile si wakaparamiana ๐Ÿ˜„

Ova
Wakatoka wote kwa speed moja ๐Ÿ˜†
 
This is Inhuman
Big NO. Many people have tried their level best to advice these Dudes but nothing is coming out. They always respond negatively. Henceforth, let's also react negatively when they get involved into accidents.
 
Big NO. Many people have tried their level best to advice these Dudes but nothing is coming out. They always respond negatively. Henceforth, let's also react negatively when they get involved into accidents.
Hujafa hujaumbika mzee, kila la kheri.
 
Back
Top Bottom