Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Hapa nlipo, nna steshen kama kumi hivi za radio zote za tanzania, na hakuna steshen hata moja ya redio mpaka sasa iliyotangaza hili. ndo maana nikasema hivyo .
Hizo stesheni zote 10 zina wawakilishi Karatu ambao pia walikuwa standby kusubiri hili tukio? Kamanda wa polisi mwenyewe yuko njiani hajafika maana ni kama km 180 toka arusha sembuse waandishi? Wasamehe tu.
 
Kweli kifo hakina huruma! Duuuuuh,,.laleni salama watoto wapendwa ktk bwana.Nasi baba zenu safari yetu ni hukohuko japo hatujui ni lini.
 
Mungu Awalaze Mahali Pema Marehemu Wote! Pole sana Wazazi,Ndugu,na wote walioguswa! Nikiwatazama wanangu nikaimagine kuambiwa habari kama hii! i would fall to pieces!
 
Habari na ajali mbaya sana hii. MUNGU awarehemu waliofariki wote na awape moyo wa uvumilivu wazazi, ndugu na jamaa wote wa marehemu. So sad.
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi Amina
 
OMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
 
Mwenyezi Mungu awajalie pumziko lenye Heri amina
 
R.I.P Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi.Njia yetu sote ila hatujui tuliobaki tutaondokaje.Mungu watie Nguvu familia zao katika kipindi hiki kigumu wanchopitia.Amen
R.I.P
 
Lakin magari ya hiyoo shule huwa mabovu bovu sanaa na rangi zake sijuii huwa zinapigwa na mkono. Na inasemekanaa mwenye shulee nimzee wamakamati ya ufundii sasa hatuwezi jua kashafanya yake (inavyosemekana kwa mujibu wawanao mfahamu)
 
Nimeshtuka sana .ooh mungu wangu ni nini imetokea?
 
Hakuna Damu Kwa Vp.?Labda Wamekufa Kwa Internal Injury?Mnaposema Wamekufa Nani Amethibitisha Km Wamekufa?Kuna Madaktari Wenye Vpmo Hapo?Msije Mkapeleka Majeruhi Mochwari
Kabisa , tahadhari muhimu
 
Back
Top Bottom