Mola akimchana ndiyo safi maana hatarudia tena kutukana watu asio wajua! Walahi nakwambia! Afu ban mbaya sana lazima tujifunze hekima na busara, believe me muhimu sanaMchane tu urudi kwenye ban, Ban kitu gani
Soma biology mkuuHuyo Kiranga anaesema Mungu hayupo, izo shahawa Ambazo chanzo cha kuumbwa yeye,,,nani kaziumba izo mbegu angetuambia, ,,
Hakuna ajali hapo,kwanin uokote okote tuu,kwanin usipime kabla ya tendo,na kwanin mazingira yasiwe saf nje na ndan kuua wadudu,mbona,nje zingne malaria ni ndoto,uzembe wenu mnasema ajali,Kwahiyo hajali ni ipi condom ikipasuka wakati wa tendo au kuumwa na mbu wa malaria kabla ya kuingia kwenye net?
One definition in different words.Security belts=safety belts mkuu.
Wakishanyongwa itakua fundisho kutii sheria za barabaran na kuheshim utu,sio kujaza watoto 50 kweny gar1,...na watu wataogopa,na askar hawatachkua hongo za baraban,kama makosa kama haya yatashugulikiwa ipasavyo,kama wachina,wameweza nasis tunaweza,dunian hapa hakunaga bahat mbaya,ni huku kwetu tuu ndo kuna huu ujinga wa bahat mbaya,akisha nyogwa.watarudi..mipango ya mungu tu
Kinachonishangaza hiyo list kaandika nani?Na bado wamem consider kama MTU wa 25 huoni namba imeendelea 26 27
Soma vizuri Maelezo yangu RPC sio MUNGU kuwa haiwezi kukosa.RPC yupo sahihi,kauli ikikosewa huleta shida,basi wangemuhoji huyo OCD mkuu.
Nop ilikuwa asubiriwe agathe facts ...then aripoti ...kauli yake huwa ni valid official statement kwenye matukio ya ajali jinai and so forthKwa hyo RPC alikuwa aongee kabla hajafika eneo LA tukio?
Tunachoongea hapa ni kuwa RPC uko njiani kuelekea eneo la tukio kwa vyovyote vile huwezi kubuni safari ila umepewa taarifa na OCD wako ktk wilaya husika kama taarifa ya awali kwako na ukapima uzito wake ukaamua uende eneo la tukio.Nop ilikuwa asubiriwe agathe facts ...then aripoti ...kauli yake huwa ni valid official statement kwenye matukio ya ajali jinai and so forth
Na kwanini wasibadilishe tuu karatasi waka andika kwenye karatasi ingine kabla ya kuexpose huu ubahili huuKinachonishangaza hiyo list kaandika nani?
Na kwann waandike jina la mtu halafu walikate? Haya mambo unabid kuwa makini kbla ya kuandika. Hiyo ni sawa na kumzushia mtu kafa