Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

Yeah...hadi sehemu ambazo mifugo inapita kuna overpass or underpass
Kumbe inawezekana. ... wangefanya hivi kwenye barabara hususan zile kuu wakaondoa matuta ingekuwa safi sana.
 
Kumbe inawezekana. ... wangefanya hivi kwenye barabara hususan zile kuu wakaondoa matuta ingekuwa safi sana.
Kabisa. Na wangeweka fence eneo linalopita barabara kwenye makazi. Inawezekana kabisa.
 
Uzembe wa dereva wa Lori,mbona Kuna vibao vya tahadhali mule.sijui alikuwa anawahi nn!
 
Kwenye kivuko cha reli wanapita vipi bila tahadhali au ndiyo viroba vina kuwa vimekolea kichwani!
watu wa malori wakiwa wamekaa ameshika usukani,akili huwa zinawatoka kabisa.ukikutana nae barabarani jamaa anakusogezea mlori wake karibu kabisa halafu yuko speed...wanavulugu !!!!
 
Nimebebewa sana saruji toka Tanga Cement na kampuni ya MASCO - Scania 113E semi zile zikibeba mifuko 1000 (tani 50); hili nina uhakika nalo unless walikuwa wanavunja sheria/kanuni au sheria/kanuni zimebadilishwa hivi karibuni.
Basi walikuwa wanafoji,kwa Sasa tani 50 hazipiti barabarani.watu wa jiwe sio wa enzi zile aise
 
... hilo lori/semi urefu wake wote ni fupi kuliko kichwa/engine ya hilo train. Hata liwe fully loaded (50 tons) bado ni jepesi kuliko just single engine ya train. Kila mbabe ana mbabe wake.
Hiyo ngoma ina Tani 96
 
hao madereva wa treni wanaendesha hovyo sana hawako makini na ukute hapo alikuwa anaovatake
Usiseme hivyo treni ikiwa na 40km/hr huwezi kufanya application ya brake kwa hapo hapo na ikasimama tena ukitumia emergency brake ndiyo hatari zaidi. Madereva wa magari hawapo makini hasa dar.
 
Back
Top Bottom