Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

kajekudya unachoongea haupo sawa kama unakumbuka Mbunge wa eneo lile alizungumza kuomba msaada wa kupewa kivuko kipya muda si mrefu ingawaje yeye ni mtoa maamuzi hana uwezo wa kutoa maamuzi ya kununua kivuko harafu fikirisha ubongo zaidi wahusika katika kutoa maamuzi ndio hao wanasitisha kuokoa kisa Giza nani mwingine atakaeruhusu uokoaji hapo...mambo ya ajali yanatakiwa yajadiliwe na wataalamu sio kila mtu ndio maana wanasitisha uokoaji kwa kuwa hakuna wataalamu wa uokoaji...
 
Sorry nilifikiri ni mmoja wa ma GT kumbe ni mshabiki wa siasa ...

Samahani brother mi sio mshabiki wa siasa you may proceed kubwabwaja uwezavyo hapa ndio sehemu pekee waweza ongea utakalo ...

It doesn't matter you are GT au mshabiki mandazi unapelekwa wanavyotaka wao na sio unavyotaka utaratibu wa sheria, katiba, uadilifu na busara za uongozi Bora ...
Na huu ndo ujinga, eti hatoi maamuzi, Kama hatoi maamuzi kinachomfanya aendelee kunga'ang'ania huko ni Nini!? Zitto ni Kiongozi na kea taarifa yako decision maker, hivyo kwa mda wote ambao amekaa serikalini atawajibika kwayo, kwahiyo

Amebuni Nini zaidi ya kupinga kelele
 
Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Na mkazo wote upo hapo. Angalia matamko yote yaliyotolewa na serikali na viongozi wake. Ni kama kuna kitu wanachokiogopa sana kitakachoibuliwa na wapinzani. Ni kama kila jambo linalotokea nchini linafanya waone kama ni fursa itakayotumiwa na wapinzani kuwaondolea sifa zao kwa wananchi.
Ni kama unyasi unaogusa mguu uliowahi kugongwa na nyoka! Mbona wasiwasi umezidi kuwa mkubwa kiasi hiki?
 
cccm mnatia aibu, mtu anawambia ukweli mnambeza, kejeli yote hii kwa sababu walio kufa niwa jimbo la upinzani?
Wamekufa wa upinzani, tofauti na Mbunge was Jimbo lile Kiongozi yupi wa upinzani umeniona kule.
 
kajekudya unachoongea haupo sawa kama unakumbuka Mbunge wa eneo lile alizungumza kuomba msaada wa kupewa kivuko kipya muda si mrefu ingawaje yeye ni mtoa maamuzi hana uwezo wa kutoa maamuzi ya kununua kivuko harafu fikirisha ubongo zaidi wahusika katika kutoa maamuzi ndio hao wanasitisha kuokoa kisa Giza nani mwingine atakaeruhusu uokoaji hapo...mambo ya ajali yanatakiwa yajadiliwe na wataalamu sio kila mtu ndio maana wanasitisha uokoaji kwa kuwa hakuna wataalamu wa uokoaji...
Mkuu huyo Mbunge anatoa maamuzi na Kiongozi na ndio maana Hadi keo anaishi kwa Kodi zetu, na Kama kweli hawatoi maamuzi, na wanalijua hilo Basi Hawa ni mafisadi, sasa wewe uniambie hizo hela wanazolipwa ni za Nini!
 
Angeongea yupo kwenye tukio ingesaidia hata mchango wake tu tungesikia katoa kulalama gizani ni kiki mfu
 
1, Na swali ile ajari ya Moto iliyotokea kwenye ile nnchi ya ulaya mawazili walijiuzuru? Au mamlaka husika inayosimamia?
2, Jitaidi utumie ujana wako kama kweli unawapenda Watanzania vijana waweze kupata fursa za ajira au buni kitu cha msingi umekaa attention mda wote kukosoa ni sawa na unajikita kutafuta mabaya ya mwenzio kwa staili hii tutafika? Ndo maana wabongo wamtoendelea
3, waliosababisha ajali ni Mawazili? au mamlaka husika ndo washughulikiwe?Aseee kuwa Makini
Hizo ni siasa tu,hamna kitu
Kwa nn hampend kukosolewa nyie ccm? Mbona mkisifiwa huwa mnafurai sana? Kwan mwinyi alivyo jiudhuru kwa mauaji yaliyo fanywa na polisi kipind akiwa wazir wa mambo ya ndan alikua ameusika na mauaji? Kujiudhuru ni kuonyesha uajibikaji tuu...mm siungi mkono wajiudhuru sema nlitaka kuweka kumbu kumbu sawa pale unapotaka kutuaminisha watu wanajiudhuru kwa kuusika moja kwa moja ila sio lazma wauske moja kwa moja
 
watu hai wangeweza kuokoka usiku ule kama uokozi madhubuti ungeendelea kwa kutumia jeshi na makampuni binafs,nadhani hapa ilitakiwa busara tu ya serikali kuamrisha uokozi uendelee kwa kuweka mazingira wezeshi
Unajua mkuu Search and Rescue Units zilizozunguka ziwa Victoria ni Uganda,Kenya,Tanzania,Rwanda.Hizi nchi zipo kusaidiana kutoa misaada ya dharura.Hapa mkuu kilichokosa kwetu ni cordination,we are poor in implimentation.Usishangae ukasikia wahusika hawajui wajibu wao na jinsi ya kushirikiana na nchi jirani wakati wa majanga yawezekana hata simulation drill hawajafanya hata mmoja.
Kwa kweli responce yetu kwa haya majanga ya majini tokea 1996 ilipozama Mv Bukoba hadi leo ni very poor inatia kichefu chefu.Bora kujipanga upya kama taifa.Mungu Walaze pema wahanga wa Mv Nyerere
 
Great job kwako!! Kama viongozi wake wote wamemkimbia then unategemea nini? Mbunge anayeamini uchawi uchwara!
Ahaahaaa insonyesha ulishawai kumjarbu ndo unajua kua anaamin uchawi,,ila mbona nliwai ckia pia uchaw upo mpka nyumba nyeupe....kwan viongoz wake wamemkimbia au wamekimbilia pesa zilizokua zinamwagwa upande wa pili? Mm najua wameenda kuvuna tuu na sio kukimbia
 
Serekali itajizungusha tuu ila mwisho wa siku lazima ikubali kua ilizembea. Kigwangala alikodishiwa helkopta ila hao wananchi wamekosa hata taa ya uokozi
 
Serekali itajizungusha tuu ila mwisho wa siku lazima ikubali kua ilizembea. Kigwangala alikodishiwa helkopta ila hao wananchi wamekosa hata taa ya uokozi
Ina maana Hata Mbunge alikosa Taa ya uokozi?
 
Wazee wakushindwa washa hata glopu
Mpo

Ova


Ina maana walishindwa hata kuwasiliana na Makufuli mwanza mjini pale akawapa zile tochi za mwanga makali jamani....au hata wangenunua tochi za kawaida nyingiiii si zingesaidia....au walishindwa hata kuweka generator kwenye mtumbwi na wakaenda kuokoa watu jamani....vtu vingine hata havielezeki aisee
 
Sorry nilifikiri ni mmoja wa ma GT kumbe ni mshabiki wa siasa ...

Samahani brother mi sio mshabiki wa siasa you may proceed kubwabwaja uwezavyo hapa ndio sehemu pekee waweza ongea utakalo ...

It doesn't matter you are GT au mshabiki mandazi unapelekwa wanavyotaka wao na sio unavyotaka utaratibu wa sheria, katiba, uadilifu na busara za uongozi Bora ...


Mpuuze tu mkuu wangu...he is probably suffering from pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
 
Du!!! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah .... Huo ugonjwa kiboko ... Ukifanya utani ulimi unaweza kunasa kwenye meno wakati unajitutumua kuutaja ... Ha ha ha haaaa ...
Mpuuze tu mkuu wangu...he is probably suffering from pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
 
Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?

Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe.

Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni sisi wenyewe. Huwezi kupata Habari ya ajali saa nane mchana halafu ukaitisha Kamati ya Usalama mkoa saa 11 jioni ( yaani mwendo wa Dreamliner Dar-Mwanza mara 4 ). Rais naye hakuitisha Cabinet ya dharura wala Baraza la Ulinzi na Usalama Taifa kuratibu uokoaji. Uokoaji unasitishwa sababu ya GIZA? Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!

Kwa nchi zilizoendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu walitakiwa wawe wamekwishafutwa kazi au wamejiuzulu wenyewe.

Miaka 57 baada ya uhuru...Jeshi la uokozi linapoishia kuwa jeshi la UOPOZI, ni wakati wa rafiki nyangu Kangi Lugola kupumzika. Waziri Kamwelwe, Jenista na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wanapaswa kufukuzwa kazi mara moja. Bahati mbaya sana Rais amechoka na hivyo hajali tena. Wazembe Ndio wameongoza mazishi ya ndugu zetu leo.
Long Live Zitto Kabwe , Mtu yeyote atakayekugusa ongeza nguvu za Vidono ateketee kabla hajafanikiwa adhma yake....Nimemuona CHEMBA LA TAKA Mwigulu na porojo zake pia nimemuona KIJAKAZI MFANYAKAZI WA NDANI WA MAMA ANNA ASENGA ABUBAKARI AKIKUANDAMA SANA.
 
Back
Top Bottom