Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

Na wewe bado ni mbunge wakati Halmashauri yako mwaka huu ilipata hati chafu??
Mbunge ni mjumbe katika vikao na kamati za halmashauri hana mamlaka yeyote ya kiutendaji.
 
Wewe ulitaka asifie tu?kwanini msiheshimu mawazo yanayokinzana na mawazo yenu?
This is nonsense
Zitto yupo serikalini mwaka wa 12 sasa, Kama anadhani hao wanapaswa kuwajibika ajue na yeye hamna namna anaweza kukwepa, wasifanye sisi wajinga, awe opposition awe wapi, he is a Leader na anapaswa pia kuwajibika kwa matatizo ya Nchi hi, asijifiche kwenye kivuli Cha upinzani!
 
Zitto una hoja ya msingi. badala ya kujibiwa kangi anahangaika na mapolis kuzuia watu wasihoji uzembe huu.
 
Hakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!
Katika alichosema hapo uongo uko wapi? Mbona neno kukamatwa siku hizi mmeliweka kama ndio kinga yenu kuficha uzembe?
 
Katika alichosema hapo uongo uko wapi? Mbona neno kukamatwa siku hizi mmeliweka kama ndio kinga yenu kuficha uzembe?
Naona mmeamua kupinga kollabo, hayo aliyoyaandika Zitto yalitakiwa yasemwe na raia wa kawaida ila siyo yeye, Zitto ni Kiongozi hapaswi kujiondoa au kutaka asiwe sehemu ya matatizo yanayoikabili Nchi hi, sasa anapowahadaa Mbulula Kama wewe eti viongozi wenzake wajiuzuru huu ndo ujinga Mimi nisiokubaliana nao, Zitto ni Kiongozi, ndiyo maana anahudumiwa na Kodi za Watanzania, sisi kwa sababu ana sura ya mabakamabaka, Bali kwakuwa watanzania Wanataka awasaidie kutatua matatatizo yao na si kupinga tu Domo!
 
Hakuna hoja ya msingi

Nahodha kamkabidhi Chombo day worker Waziri anahusikaje?
Hata Yeye Zitto Basi angejiuzulu Kwa Matokeo ya chama chake 2015
Mkuu wa kituo cha polisi Shinyanga alipo weka watu wengi lockup wakakosa hewa na kufa na Waziri Ali Hassan Mwinyi akajiuzulu kwani alikuwepo Shinyanga?
Msipende kutetea ujinga kwa sababu watu wanavaa mashati ya kijani
 
Back
Top Bottom