Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Yeye kama Mbunge alikuwa na uwezo wa kuwajibisha DED, DT au IA wa halmashauri?Na wewe bado ni mbunge wakati Halmashauri yako mwaka huu ilipata hati chafu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye kama Mbunge alikuwa na uwezo wa kuwajibisha DED, DT au IA wa halmashauri?Na wewe bado ni mbunge wakati Halmashauri yako mwaka huu ilipata hati chafu??
Kukimbiwa au kununua viongozi wake kwa kodi za wananchi za kununua vivuko wasife ili kumdhoofisha na ACT Ife?Great job kwako!! Kama viongozi wake wote wamemkimbia then unategemea nini? Mbunge anayeamini uchawi uchwara!
Hicho ni chama cha siasa sio chama cha uokoziACT wazalendo mmefanya nini kwenye zoezi la uokoaji?
Tens hiyo SAA 11 sio kwenda bali ndio kikao kinakaa kujadili wafanye nini! Labda ilikuwa inashughulikiwa kwanza posho ya kikaoUnachokisema Zitto hata mi nimekiwaza hivi inakuja akilini kweli ajali itokee saa 8 harafu nyie muende kuokoa watu saa 11 mnashindwa kumtoa mtu yeyote aliye hai ndani ya masaa 2 mnaondoka sababu ya giza? Nimewaza tu leo nikawaambia jamaa zangu kundini hii nchi hasa sisi tunaoishi huku ziwani tutakuja kuisha
Wazee wakushindwa washa hata glopuGreat job kwako!! Kama viongozi wake wote wamemkimbia then unategemea nini? Mbunge anayeamini uchawi uchwara!
Zitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa njeNaona mmeamua kupinga kollabo, hayo aliyoyaandika Zitto yalitakiwa yasemwe na raia wa kawaida ila siyo yeye, Zitto ni Kiongozi hapaswi kujiondoa au kutaka asiwe sehemu ya matatizo yanayoikabili Nchi hi, sasa anapowahadaa Mbulula Kama wewe eti viongozi wenzake wajiuzuru huu ndo ujinga Mimi nisiokubaliana nao, Zitto ni Kiongozi, ndiyo maana anahudumiwa na Kodi za Watanzania, sisi kwa sababu ana sura ya mabakamabaka, Bali kwakuwa watanzania Wanataka awasaidie kutatua matatatizo yao na si kupinga tu Domo!
Mkuu wa kituo cha polisi Shinyanga alipo weka watu wengi lockup wakakosa hewa na Waziri Ali Hassan Mwinyi akajiuzulu kwani alikuwepo Shinyanga?
Msipende kutetea ujinga kwa sababu watu wanavaa mashati ya kijani
Kwa akili ndogo tu kuna mtu angekua HAI hadi saa 12 jioni ukiachana na huyo injinia anayedai alikua kwenye chumba maalum?Ebu vuta picha katika meli iliyozama kuna mke,mtoto au baba,mama yako.Bado ukiwa na matumaini ya kuweza kuokolewa kwa wapendwa wako kuna mtu anatokea anasema tumesitisha zoezi,tutaendelea baada ya masaa 12 kwa sababu hatuna taa za kutuongoza.Utadhani waliopo chini ya meli iliyozama wamekaa hotel lobby kwenye sofa wanasubiri huduma.Mungu tuepeshe na madhira ya aina hii,ziweke roho za marehemu mahala pema peponi.
Ni aibu sana hata kujiita Mtanzania mbele ya watu wa mataifa tofauti walah!!Tens hiyo SAA 11 sio kwenda bali ndio kikao kinakaa kujadili wafanye nini! Labda ilikuwa inashughulikiwa kwanza posho ya kikao
Hakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!
Na huu ndo ujinga, eti hatoi maamuzi, Kama hatoi maamuzi kinachomfanya aendelee kunga'ang'ania huko ni Nini!? Zitto ni Kiongozi na kea taarifa yako decision maker, hivyo kwa mda wote ambao amekaa serikalini atawajibika kwayo, kwahiyoZitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa nje
Amebuni Nini zaidi ya kupinga keleleMbona kama umetoka nje ya mada GT si hua tunajibiana kwa hoja?
Ulitakiwa uchambue hoja yake utuambie kakosea wapi halafu wewe utupe au utetee kwa hoja kwa kile unachokipinga kwa ZK ...
Badala yake umetuongelea mawazo au mpango wa zito juu ya kwanini katoa hoja kama hiyo ... Sasa mwenzetu sijui umekua mfalme njozi kujua Zitto kaongea hivyo ili akamatwe kwa sababu ya his own Political gain au ...!!?
Pia hao vijana wa ulaya inategemea wapo katika fani gani maana Kuna Wahandisi, Madaktari, Walimu, halikadhalika wapo vijana Wanasiasa Kama Zitto ambao wanabuni hoja chanya kama za Zitto ...
So to me Zitto amebuni hoja chanya kwelikweli katika kuhoji hili Jambo kuliko hata huyo kijana mtaalamu wa siasa wa ulaya ...
Otherwise Kama labda ulitaka Zitto abuni njia mbadala ya kutibu kaswende au kisonono wakati yeye si mtabibu Bali Mwana siasa ...
Kijana mwanasiasa atabuni mambo ya siasa na Mhandisi atabuni njia na taratibu za ki-uhandisi upo Hapo shostito ...!!!
Narudia Zitto ni Kiongozi na ni decision maker hakuna namna anaweza kukwepa Yale yote mabaya yaliyotokea wakati yeye no kiongozi, ndio maana analipwa kwa Kodi zetu, Hana todauti na Kiongozi yeyote yule umujuaye!Zitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa nje
......Mkuu wa kituo cha polisi Shinyanga alipo weka watu wengi lockup wakakosa hewa na kufa na Waziri Ali Hassan Mwinyi akajiuzulu kwani alikuwepo Shinyanga?
Msipende kutetea ujinga kwa sababu watu wanavaa mashati ya kijani
cccm mnatia aibu, mtu anawambia ukweli mnambeza, kejeli yote hii kwa sababu walio kufa niwa jimbo la upinzani?Hakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!