Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,332
- 2,465
Na vijana wa rika lake waliopo serikalini wanajaza matumbo yao huku wanyonge wakiangamia na kufa maji, Bora yeye angalau anaona mbali kuliko hayo ambayo hata kushughulisha ubongo imekuwa ngumu.. ...Usitishe uokoaji kisa Giza . . .haiingii akilini, vuta picha angekwepo mama ake, au ndugu yake jee angesema tukalale paka kesho kukiwa na mwangaHakuna wa kumzuru huyu, lakini anachokifanya ni kutumia huu msiba kuiprovoke Serikali ili aakamatwe and it is for his own gain, political stunts, and nothing else, vijana wa umri wake Europe wapo busy kubuni vitu vya msingi kwa ajiri ya Nchi zao, yeye yupo busy kuitumia elimu yake na akili yake kupigania Maslahi ya tumbo lake!