Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na huu ndo ujinga, eti hatoi maamuzi, Kama hatoi maamuzi kinachomfanya aendelee kunga'ang'ania huko ni Nini!? Zitto ni Kiongozi na kea taarifa yako decision maker, hivyo kwa mda wote ambao amekaa serikalini atawajibika kwayo, kwahiyo
Amebuni Nini zaidi ya kupinga kelele
Na mkazo wote upo hapo. Angalia matamko yote yaliyotolewa na serikali na viongozi wake. Ni kama kuna kitu wanachokiogopa sana kitakachoibuliwa na wapinzani. Ni kama kila jambo linalotokea nchini linafanya waone kama ni fursa itakayotumiwa na wapinzani kuwaondolea sifa zao kwa wananchi.Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Wamekufa wa upinzani, tofauti na Mbunge was Jimbo lile Kiongozi yupi wa upinzani umeniona kule.cccm mnatia aibu, mtu anawambia ukweli mnambeza, kejeli yote hii kwa sababu walio kufa niwa jimbo la upinzani?
Zitto amefel Sana tokea pale alipompa Musiba masaa 24 na bado nothing happened
......Tens hiyo SAA 11 sio kwenda bali ndio kikao kinakaa kujadili wafanye nini! Labda ilikuwa inashughulikiwa kwanza posho ya kikao
....Mzee wa kiki Kangi hafai hata ujumbe wa 10houses,hana tofauti na Kibajaji
Mkuu huyo Mbunge anatoa maamuzi na Kiongozi na ndio maana Hadi keo anaishi kwa Kodi zetu, na Kama kweli hawatoi maamuzi, na wanalijua hilo Basi Hawa ni mafisadi, sasa wewe uniambie hizo hela wanazolipwa ni za Nini!kajekudya unachoongea haupo sawa kama unakumbuka Mbunge wa eneo lile alizungumza kuomba msaada wa kupewa kivuko kipya muda si mrefu ingawaje yeye ni mtoa maamuzi hana uwezo wa kutoa maamuzi ya kununua kivuko harafu fikirisha ubongo zaidi wahusika katika kutoa maamuzi ndio hao wanasitisha kuokoa kisa Giza nani mwingine atakaeruhusu uokoaji hapo...mambo ya ajali yanatakiwa yajadiliwe na wataalamu sio kila mtu ndio maana wanasitisha uokoaji kwa kuwa hakuna wataalamu wa uokoaji...
....Watu wanatumikia matumbo na vyeo vyao wala sio RAIA.
Kwa nn hampend kukosolewa nyie ccm? Mbona mkisifiwa huwa mnafurai sana? Kwan mwinyi alivyo jiudhuru kwa mauaji yaliyo fanywa na polisi kipind akiwa wazir wa mambo ya ndan alikua ameusika na mauaji? Kujiudhuru ni kuonyesha uajibikaji tuu...mm siungi mkono wajiudhuru sema nlitaka kuweka kumbu kumbu sawa pale unapotaka kutuaminisha watu wanajiudhuru kwa kuusika moja kwa moja ila sio lazma wauske moja kwa moja1, Na swali ile ajari ya Moto iliyotokea kwenye ile nnchi ya ulaya mawazili walijiuzuru? Au mamlaka husika inayosimamia?
2, Jitaidi utumie ujana wako kama kweli unawapenda Watanzania vijana waweze kupata fursa za ajira au buni kitu cha msingi umekaa attention mda wote kukosoa ni sawa na unajikita kutafuta mabaya ya mwenzio kwa staili hii tutafika? Ndo maana wabongo wamtoendelea
3, waliosababisha ajali ni Mawazili? au mamlaka husika ndo washughulikiwe?Aseee kuwa Makini
Hizo ni siasa tu,hamna kitu
Unajua mkuu Search and Rescue Units zilizozunguka ziwa Victoria ni Uganda,Kenya,Tanzania,Rwanda.Hizi nchi zipo kusaidiana kutoa misaada ya dharura.Hapa mkuu kilichokosa kwetu ni cordination,we are poor in implimentation.Usishangae ukasikia wahusika hawajui wajibu wao na jinsi ya kushirikiana na nchi jirani wakati wa majanga yawezekana hata simulation drill hawajafanya hata mmoja.watu hai wangeweza kuokoka usiku ule kama uokozi madhubuti ungeendelea kwa kutumia jeshi na makampuni binafs,nadhani hapa ilitakiwa busara tu ya serikali kuamrisha uokozi uendelee kwa kuweka mazingira wezeshi
Ahaahaaa insonyesha ulishawai kumjarbu ndo unajua kua anaamin uchawi,,ila mbona nliwai ckia pia uchaw upo mpka nyumba nyeupe....kwan viongoz wake wamemkimbia au wamekimbilia pesa zilizokua zinamwagwa upande wa pili? Mm najua wameenda kuvuna tuu na sio kukimbiaGreat job kwako!! Kama viongozi wake wote wamemkimbia then unategemea nini? Mbunge anayeamini uchawi uchwara!
Ina maana Hata Mbunge alikosa Taa ya uokozi?Serekali itajizungusha tuu ila mwisho wa siku lazima ikubali kua ilizembea. Kigwangala alikodishiwa helkopta ila hao wananchi wamekosa hata taa ya uokozi
Wazee wakushindwa washa hata glopu
Mpo
Ova
Sorry nilifikiri ni mmoja wa ma GT kumbe ni mshabiki wa siasa ...
Samahani brother mi sio mshabiki wa siasa you may proceed kubwabwaja uwezavyo hapa ndio sehemu pekee waweza ongea utakalo ...
It doesn't matter you are GT au mshabiki mandazi unapelekwa wanavyotaka wao na sio unavyotaka utaratibu wa sheria, katiba, uadilifu na busara za uongozi Bora ...
Mpuuze tu mkuu wangu...he is probably suffering from pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
Kuwajibika Vs Visingizio
Alafu wanajidanganya eti wanapendwa!Katika alichosema hapo uongo uko wapi? Mbona neno kukamatwa siku hizi mmeliweka kama ndio kinga yenu kuficha uzembe?
Long Live Zitto Kabwe , Mtu yeyote atakayekugusa ongeza nguvu za Vidono ateketee kabla hajafanikiwa adhma yake....Nimemuona CHEMBA LA TAKA Mwigulu na porojo zake pia nimemuona KIJAKAZI MFANYAKAZI WA NDANI WA MAMA ANNA ASENGA ABUBAKARI AKIKUANDAMA SANA.Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri?
Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe.
Tuache kujidanganya na mapenzi ya Mungu. Mungu katupa akili, namna ya kuzitumia ni sisi wenyewe. Huwezi kupata Habari ya ajali saa nane mchana halafu ukaitisha Kamati ya Usalama mkoa saa 11 jioni ( yaani mwendo wa Dreamliner Dar-Mwanza mara 4 ). Rais naye hakuitisha Cabinet ya dharura wala Baraza la Ulinzi na Usalama Taifa kuratibu uokoaji. Uokoaji unasitishwa sababu ya GIZA? Tukihoji mnasema tunaleta Siasa? Nonsense!
Kwa nchi zilizoendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Ujenzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu walitakiwa wawe wamekwishafutwa kazi au wamejiuzulu wenyewe.
Miaka 57 baada ya uhuru...Jeshi la uokozi linapoishia kuwa jeshi la UOPOZI, ni wakati wa rafiki nyangu Kangi Lugola kupumzika. Waziri Kamwelwe, Jenista na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wanapaswa kufukuzwa kazi mara moja. Bahati mbaya sana Rais amechoka na hivyo hajali tena. Wazembe Ndio wameongoza mazishi ya ndugu zetu leo.