Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

Wengi wao n wajeshi Magu aliwaweka wengi Sana ndo mana Wana vibuli.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Boda boda alie mpakiza dereva wa mwendokasi ana roho ngumu sana
 
Kwanini unachati barabarani?
 
Halafu wengi wasichokijua hao madereva wengiwao ni watumishi wa jeshi la ulinzi
 
Mbona umeandika kama unakimbizwaa!! Rudi kusoma!
 
Yaani unavuka barabara huku unachat? Kwanini usisubiri umalize kuvuka ndio uendelee na chatin zako?
 
Yaani unavuka barabara huku unachat? Kwanini usisubiri umalize kuvuka ndio uendelee na chatin zako?
Yaani nilipatwa na hisia flani hivi Kama vile nimesha vuka barabara,kumbe nilikua bado niko barabarani,naweza sema ubongo wangu siku hiyo uliniongopea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…