Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

Waheshimu njia za mmwendokasi sasa, hivi sasa nidhamu imeshuka sana kila mtu akiwa na madaraka kdg tu nae anajifanya yupo matawi ya juu kujitenga na watu wa kawaida, unakuta askari ana mbavu mbili (V) nae njia ya kawaida haitaki yeye na mwendo kasi road tu hata kama hakuna foleni. MAMA awe mkali sasa kama Mzee Magu
 
T ONE Ni Nani?
T one ndio mwenye makosa lkn kwasababu anasukuma Range DEREVA wa mwendokasi anaweza akageuziwa kibao kwamba Ni mlevi wakati mlevi anajulikana.
 
mabasi haya yanakimbiaga sana mpaka unajiuliza, huyu kvunta bangi au ni kichaa
 
Aisee nimeshindwa kuelewa ni ngonjela, mapambio, michano au michambo, shikamo wanawake.
 
Hii ajali ingetokea mchana ingeua watu wengi tu. Kuna pedestrians wengi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ