Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

Ndiyo akili zako zilipoishia. Humu hakuna wa kununua hilo kota lako. Kudanga unakujua wewe? Yaani weekend yangu unilazimishe wewe kulala unaingiliwa vibaya wewe. Sikupi kiki, sikujibu toa povu uwezavyo hainibadilishi chochote. Kunguru wahed Tchao mbuzi wa kafara
fyddell kukujibu wewe ona hilo ngese lilivyotoa povu. Halina mtu wa kuongea naye linanirukia kwa kuanza kututukana.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
DONE
Mpotezee tu huyo jamaa kipenzi changu.
 
Nadhani anamaanisha Samora avenue na Morogoro road kwasababu naona jengo la PSSSF (J mall). Na hapo kuna traffic light lazima mmoja kapita taa nyekundu.
Hapo bila kusimama huoni bus likija. Afadhali sasa hivi kuna taa kabla ya taa kulikuwa na foleni kali sana.
Ndio hapo hapo, baada ya kituo cha mwendokasi cha Kisutu inafuata junction ya Samora Avenue kuna mataa na kuna Kona kali kwa mbele, mwendokasi alikuwa kwenye spidi kali kwa sababu taa zilimruhusu, huyu mwenye Range akajua kwamba atamuwahi ziliumana pale kwenye junction na kuburuzwa pembeni, so kimsingi Mwenye gari ndogo ndio mwenye makosa.
 
Madereva wa mwendokasi usiku wanakuwa kama hawana judgment capabilities. Defensive driving requires hata kama ni taa green kwako, ukifika junction unapunguza mwendo.
 
Nadhani anamaanisha Samora avenue na Morogoro road kwasababu naona jengo la PSSSF (J mall). Na hapo kuna traffic light lazima mmoja kapita taa nyekundu.
Hapo bila kusimama huoni bus likija. Afadhali sasa hivi kuna taa kabla ya taa kulikuwa na foleni kali sana.
Kama ni hapo psssf naona ni karibia kabisa na johari rotana.

Dereva wa Range bila shaka atakua na makosa.
 
Back
Top Bottom