Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

Johari Rotana iko Sokoine Drive hapo ni Samora
Sawa ila kwa ufahamu wangu wa hayo maeneo.

Jengo ni hilo hilo tu, mbele kuna hoteli nyuma kuna duka la nguo toka Spain na ofisi za TRA.

Hiyo kona hapo ipo karibu na psssf tower , hilo gari la mwendokasi limechepuka toka barabara yake na kuingia huko nje karibu na psssf.
 
Nadhani anamaanisha Samora avenue na Morogoro road kwasababu naona jengo la PSSSF (J mall). Na hapo kuna traffic light lazima mmoja kapita taa nyekundu.
Hapo bila kusimama huoni bus likija. Afadhali sasa hivi kuna taa kabla ya taa kulikuwa na foleni kali sana.
Na usiku kuanzia saa 3 afande Bonge uwa anakaa pale kwenye kibao cha Jmall au Aramex anavizia wanaovuka na red. Ukivuka na red na akakuona na Baby walker lazima akuungie na pikipiki mpaka akudake.
 
Sawa ila kwa ufahamu wangu wa hayo maeneo.

Jengo ni hilo hilo tu, mbele kuna hoteli nyuma kuna duka la nguo toka Spain na ofisi za TRA.

Hiyo kona hapo ipo karibu na psssf tower , hilo gari la mwendokasi limechepuka toka barabara yake na kuingia huko nje karibu na psssf.
Mkuu Johari Rotana iko Sokoine Drive opposite na Azam Marine offices. PSSSF Tower ipo makutano ya Samora avenue na Morogoro road ndipo ajali ilipotokea.
 
Haha sawa mkuu tusiendelee kubishana ila ukipata nafasi pita tena hayo maeneo.
 
Duh kweli wewe ni mtumiaji wa hio barabara.
Mchana mbele ya Bank ya NBC, kwenye hiyo Samora Road kwenye Zebra ya pale Kaburi Moja ukipita bila kusimama. Unakutana na traffic kwenye parking za Exim Bank wanakusubiri ukilegea unaandikiwa cheti mapema
 
Mkuu Johari Rotana iko Sokoine Drive opposite na Azam Marine offices. PSSSF Tower ipo makutano ya Samora avenue na Morogoro road ndipo ajali ilipotokea.
Upo sahihi mkuu. Hapo ni makutano ya Samora Avenue na Morogoro Road.
 
Back
Top Bottom