Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

Mpotezee tu huyo jamaa kipenzi changu.
 
Ndio hapo hapo, baada ya kituo cha mwendokasi cha Kisutu inafuata junction ya Samora Avenue kuna mataa na kuna Kona kali kwa mbele, mwendokasi alikuwa kwenye spidi kali kwa sababu taa zilimruhusu, huyu mwenye Range akajua kwamba atamuwahi ziliumana pale kwenye junction na kuburuzwa pembeni, so kimsingi Mwenye gari ndogo ndio mwenye makosa.
 
Madereva wa mwendokasi usiku wanakuwa kama hawana judgment capabilities. Defensive driving requires hata kama ni taa green kwako, ukifika junction unapunguza mwendo.
 
Kama ni hapo psssf naona ni karibia kabisa na johari rotana.

Dereva wa Range bila shaka atakua na makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…