Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hiiSawa, ila kwanini mtu upite sehemu usiyoruhusiwa?. Muda mwingi waenda kwa miguu huwa ndio tatizo.
Kule kule tunarudi hakunaga viongozi wenye maono. Hasa kutokea fisiemu ama walioletwa na mfumo waoHiyo njiaa ilitakiwa iwekwe uzio koteee,kuzuia wavukaji wanajivukia sehemu holela
Mradi huo kuna mambo kibao bado yalikuwa hajakamilika
Ova
Absolutely.Hiyo njiaa ilitakiwa iwekwe uzio koteee,kuzuia wavukaji wanajivukia sehemu holela
Mradi huo kuna mambo kibao bado yalikuwa hajakamilika
Ova
Kwa nchi hii?Absolutely.
Vivuko vya watembea kwa miguu au mapikipiki vingekuwa vya juu (bypass or over-head bridges) au vivuko vya chini ya Ardhi (underpass).
Hata watembea kwa miguu sharti wafuate sheria za barabaraniMuda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi usawa wa depo ya Kilimanjaro Express. Katikati umelala mwili wa binadamu mwenzetu. (RIP)
Tulipokuwa tunakatizi hapo, washuhuda wa ajali wanasema marehemu amegongwa na mwendokasi alipokuwa anavuka. Wanaenda mbali zaidi kumfokea dereva wetu kuwa wamezoea kuua watembea kwa miguu hivyo nao watajitwalia sheria mkononi.
Kwa kumsitiri marehemu, sikupiga picha ya ajali hiyo. Team Picha mtanisamehe
MY TAKE
Iwezekane njia ya mwendokasi iwekewe uzio watu wasivuke hadi kwenye zebra crossing. Nasema hayo kwa sababu madereva wa mwendokasi ni kama wana kinga dhidi ya makosa ya usalama barabarani.
Mwendokasi ya Mbagala itakapoanza tutakuwa na simanzi tele kwa ajali zitakazojiri
Ee Mungu tusaidie
Ukiwa kifuani mwa Lucas de mwashambwa Lucas MwashambwaMungu atupe mwisho mwema.
Masharti eti yakamate million 50 waitwe matajiri.Dreva mmoja wa mwendokasi wiki jana alinieleza wao hua wanaua makusudi iwe bodaboda au watembea Kwa mguu maana iwezekano wa kupunguza upo lakini wanafanya makusudi
Wapuuzi sana, wanajiona kama wanaendesha treni vile,kuna haja ya kuchukuliwa hatua kwa kutochukua tahadhariKi uhalisia eneo hilo lina pilika nyingi sana za waenda kwa miguu, bajaji, maguta... yaani tafrani kuanzia alfajiri hadi mchana kunatulia kidogo then jioni hadi usiku wa saa 4 ni bizeee road. watu wana stress za kuwatosha. dereva yoyote makini lazima apunguze mwendo kwa lengo la usalama bila kujali sheria inamlinda. Kuna wakati baadhi ya madereva wa mwendokasi utazani wanavuta bangi..... maana mabreki huwa yanafungwa hadi abiria mnakoma. wanajionaga wao tu ndio wana haki ya kikimbia watakavyo..... hebu waangalie na utu pia.
Jf watafuta huu uziMuda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi usawa wa depo ya Kilimanjaro Express. Katikati umelala mwili wa binadamu mwenzetu. (RIP)
Tulipokuwa tunakatizi hapo, washuhuda wa ajali wanasema marehemu amegongwa na mwendokasi alipokuwa anavuka. Wanaenda mbali zaidi kumfokea dereva wetu kuwa wamezoea kuua watembea kwa miguu hivyo nao watajitwalia sheria mkononi.
Kwa kumsitiri marehemu, sikupiga picha ya ajali hiyo. Team Picha mtanisamehe
MY TAKE
Iwezekane njia ya mwendokasi iwekewe uzio watu wasivuke hadi kwenye zebra crossing. Nasema hayo kwa sababu madereva wa mwendokasi ni kama wana kinga dhidi ya makosa ya usalama barabarani.
Mwendokasi ya Mbagala itakapoanza tutakuwa na simanzi tele kwa ajali zitakazojiri
Ee Mungu tusaidie
Pamoja na kua dereva wa mwendokasi anaweza kua na makosa ila na watembea kwa miguu hua ni viburi sana sometimes.Uzio wa nini? Watu wanapita kwenye flyover hapa Ubungo wakitokea University Rd waamie upande wa pili na kuna uzio. Tunahitaji elimu na kustaarabika tu.
Mpango ulikuwepo pia wa kuweka uzio njia yote ya mwendo kasiKi uhalisia eneo hilo lina pilika nyingi sana za waenda kwa miguu, bajaji, maguta... yaani tafrani kuanzia alfajiri hadi mchana kunatulia kidogo then jioni hadi usiku wa saa 4 ni bizeee road. watu wana stress za kuwatosha. dereva yoyote makini lazima apunguze mwendo kwa lengo la usalama bila kujali sheria inamlinda. Kuna wakati baadhi ya madereva wa mwendokasi utazani wanavuta bangi..... maana mabreki huwa yanafungwa hadi abiria mnakoma. wanajionaga wao tu ndio wana haki ya kikimbia watakavyo..... hebu waangalie na utu pia.
Pamoja na kua dereva wa mwendokasi anaweza kua na makosa ila na watembea kwa miguu hua ni viburi sana sometimes.
Mtu anavuka kwa madoido as if ana ubia za vyombo vya moto, hata kama upo kwenye zebra we chapa raba chap uvuke, hawa bodaboda na madereva wengi hawajielewi.
Mbaya zaidi hizi boda hazieleweki zinatokea upande gani, zinashusha au zinapanda zenyewe kotekote.
Unavuka kimadoido unashangaa chuma imekuvaa.
Ni kheri uwe chap kidogo kwenye kuvuka, vukia kwenye alama sahihi za kuvuka, usitegemee mataa na zebra ndo zikisimamishie magari. Usiache kuangalia kulia na kushoto na kuchukua tahadhari wakati wote ukiwa inavuka.
Afu pale kwny fly over kufa nje nje ila watu wanapita tuUzio wa nini? Watu wanapita kwenye flyover hapa Ubungo wakitokea University Rd waamie upande wa pili na kuna uzio. Tunahitaji elimu na kustaarabika tu.