Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, umekuja wakati muhafaka baada ya kimya kingi.Yamesikika mengi kuhusiana na ajali ya ndege ya PW kule Bukoba,yamesemwa mengi na wanasiasa na wasio wanasiasa
Haya mtaalam mwenyewe karudi na kachambuaKaribu mkuu
Jamaa kafunga MjadalaHaya mtaalam mwenyewe karudi na kachambua
Maana hapa katikati wajuaji wengi waliibuka
Ova
Yupi wa kujotathmini?Mengine yoote umeyaainisha kitalaam kwa uzoefu na ukongwe wako kwenye Aviation industry, wahusika wanapaswa kujitathmini na Wenye mamlaka wanapaswa kuwajibisha wazembe na hata kuwafungulia mashitaka ya kusababisha vifo kizembe wakiwa na dhamana ya kufanya uokozi.
Kama ulivyosema, all important aspect for safety katika uwanja huo ni mashaka mashaka tu na watu kila siku wako maofisini kuanzia Mawaziri mpaka wakurugenzi na hata baada ya kupotea roho za watu bado wanaleta blah blah tu..
Kwa maelezo ya Victor, mmoja wa survivors, aliuzuia mlango kwa mguu usijifunge. Hii inatoa picha ni mlango wa kufungua kama wa gari na sio juu kwenda chini na kugeuka kuwa ngazi, ambapo utatulizwa na gravity pengine.Swali ndugu yangu Barafu.
Kwenye issue ya Mlango unaozungumziwa ulikuwa ni ule wa "emmergency exit" au hii milango ya kawaida ya mbele na nyuma?.
Je "emmergency exit" doors za ATR zinafunguka kwenda chini na kuwa ngazi balanced na small hydraulic cylinders left and right au ni ule unaofunguka kwa kwenda juu ukifyatua latch kwa ndani?
Kuna ambao wamezoa kujitoa akili watakuja na hoja za kijana Meja atolewe chuoni na kurudiaha hela.. Kuna watu wana roho mbaya sanaAnalysis ya barafu ni funga kazi. Ngoja nipumzishe fuvu nikiamka bdae I will dot the i's and cross the t's.
Huyu Erythrocyte kajivua nguo kwa uzi wake ule ulio jaa chuki, uchawi na roho mbaya
Ngoma ikipigwa sanaa hupasukaHuyu Erythrocyte kajivua nguo kwa uzi wake ule ulio jaa chuki, uchawi na roho mbaya
Wameendekeza sana siasa za majitaka na kutaka kuzi apply kila sehemu hata mahala pasipo hitaji fujo za kisiasaNgoma ikipigwa sanaa hupasuka