Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumerudia kusema na kuandika hapa haya;Una wazimu si bure! Unaambiwa bila msaada wa kasia huo mlango usingefunguka! Hapo MAJALIWA siyo wa muhimu?
Kuwatoa kwenye bawa na kuwaweka nchi kavu.Mpeni majaliwa haki yakeTumerudia kusema na kuandika hapa haya;
1. Huwezi kuufungua ule mlango wa dharula wa ile ndege ukiwa nje.
2. Mlango ule wa dharula unafunguka kutokea ndani na wala hauhitaji msaada wowote kutokea nje ili kuweza kufunguka.
3. Kasia haliwezi kuuvunja ule mlango wa ndege.
4. Watu walionusurika kwenye ile ajali wanasema kuwa mara baada ya kuufungua ule mlango wa dharula wao wenyewe na kufanikiwa kutoka nje na kukaa juu ya bawa la ndege, iliwachukua kama dakika tano baadaye ndipo wavuvi wakafika hapo walipo ili kuanza kuwahamishia kwenye mitumbwi yao.
Sasa ushujaa wa kipekee wa Majaliwa unatokea wapi?
Kama huo ndio ushujaa, basi wapewe wavuvi kiujumla wao. Maana manusura wa ile ajali hakuna anayemtaja Majaliwa bali wanataja wavuvi kiujumla wao, na wavuvi hawamtaji Majaliwa bado wanajitaja wao wenyewe kwa ujumla wao.Kuwatoa kwenye bawa na kuwaweka nchi kavu.Mpeni majaliwa haki yake
Ashapewa haina rivasi hioKama huo ndio ushujaa, basi wapewe wavuvi kiujumla wao. Maana manusura wa ile ajali hakuna anayemtaja Majaliwa bali wanataja wavuvi kiujumla wao, na wavuvi hawamtaji Majaliwa bado wanajitaja wao wenyewe kwa ujumla wao.
Note: Hivi una habari kuwa Majaliwa naye aliokolewa baada ya kuanguka, kupoteza fahamu na kuelekea kuzama? Shujaa wake ni nani?
Inaonesha hujui ndege za ATR unaongea tu. Mlango uliofunguliwa ni ule wa nyuma kushoto kwa ndege ambao una ngazi. Na huu mlango huwezi kuufungua mtu wa upande mmoja. Lazima mmoja awe ndani akifungua (Binti na Victor) na nje kuwepo mtu aushikilie kwa mti (Kasia ya Majaliwa). Sisemi Majaliwa alijua hii kitu ilia yeye alikuwa anagongagonga na kasia lake akidhani anaweza kuusukumiza ndani (ambavyo asingeweza) ila kwa bahati kulikuwa na waliokuwa ndani wakiufungua. Kidendo cha kijana majaliwa kuifikia ndege na kuwa na dhamira ya kuokoa ni kitendo pekee cha ushujaa.Tumerudia kusema na kuandika hapa haya;
1. Huwezi kuufungua ule mlango wa dharula wa ile ndege ukiwa nje.
2. Mlango ule wa dharula unafunguka kutokea ndani na wala hauhitaji msaada wowote kutokea nje ili kuweza kufunguka.
3. Kasia haliwezi kuuvunja ule mlango wa ndege.
4. Watu walionusurika kwenye ile ajali wanasema kuwa mara baada ya kuufungua ule mlango wa dharula wao wenyewe na kufanikiwa kutoka nje na kukaa juu ya bawa la ndege, iliwachukua kama dakika tano baadaye ndipo wavuvi wakafika hapo walipo ili kuanza kuwahamishia kwenye mitumbwi yao.
Sasa ushujaa wa kipekee wa Majaliwa unatokea wapi?
Wewe una matatizo si bure!! Hukujua aliokolewa kivipi na kilichomsababisha mpaka aokolewe!!Kama huo ndio ushujaa, basi wapewe wavuvi kiujumla wao. Maana manusura wa ile ajali hakuna anayemtaja Majaliwa bali wanataja wavuvi kiujumla wao, na wavuvi hawamtaji Majaliwa bado wanajitaja wao wenyewe kwa ujumla wao.
Note: Hivi una habari kuwa Majaliwa naye aliokolewa baada ya kuanguka, kupoteza fahamu na kuelekea kuzama? Shujaa wake ni nani?
Ndugu naona unahamisha goli. Ngoja tuweke kumbukumbu sawa hapa JF.Inaonesha hujui ndege za ATR unaongea tu. Mlango uliofunguliwa ni ule wa nyuma kushoto kwa ndege ambao una ngazi. Na huu mlango huwezi kuufungua mtu wa upande mmoja. Lazima mmoja awe ndani akifungua (Binti na Victor) na nje kuwepo mtu aushikilie kwa mti (Kasia ya Majaliwa). Sisemi Majaliwa alijua hii kitu ilia yeye alikuwa anagongagonga na kasia lake akidhani anaweza kuusukumiza ndani (ambavyo asingeweza) ila kwa bahati kulikuwa na waliokuwa ndani wakiufungua. Kidendo cha kijana majaliwa kuifikia ndege na kuwa na dhamira ya kuokoa ni kitendo pekee cha ushujaa.View attachment 2428650
Katika majengo yanayotumiwa na watu wengi ( public) au yenye urefu fulani kunatakiwa kuwa na mlango wa tahadhari. Mlango huo haupaswi kuwa na vitasa vya kawaida vinavyohitaji funguo kufunguka kwa sababu unatakiwa kufunguka kwa haraka na uhakika pakitokea ajali. Aidha, unatakiwa uweze kufunguliwa na mtu yeyote. Kinachowekwa kwenye milango hiyo ni " panic bolts" ambazo ukiziwekea presha kidogo inafunguka. Lakini kwa kuwa "panic bolts" ni aghali ( na hofu ya kuibiwa) watu wanaweka vitasa vya kawaida ambavyo vinahitaji funguo.Wengine wanaweka grill kabisa kuzuia watu kuuvunja kutoka nje kwa urahisi.Ndugu naona unahamisha goli. Ngoja tuweke kumbukumbu sawa hapa JF.
1. Tumeelezwa mlango uliofunguliwa ulikuwa ni mlango wa dharula. Usilazimishe kuzungumzia mlango wa kawaida wa ndege ambao ndio una namna ya kufunguliwa ndani na nje, na aliye nje ni lazima awe na uelewa kuhusu uzuiaji wake. Na mlango wa dharula wa ndege ya ATR unafunguliwa kutokea ndani.
2. Maelezo ya manusura wanasema waliweza kuufungua ule mlango wao wenyewe pasipo msaada wowote kutoka nje. Wavuvi waliofika kutoa msaada walikuja baadaye baada ya wao kuufungua mlango, kutoka nje na kukaa juu ya bawa.
3. Maelezo ya Majaliwa ni kuwa, yeye mwenyewe aliweza kuufungua ule mlango kwa kuuvunja kwa kasia lake la mbao kisha akaanza kuwatoa wahanga kutoka ndani ya ndege.
Pima mwenyewe, ukweli na uhalisia.
Je, Majaliwa alikuwa ni shujaa wa ile ajali?
uzi mzuri ila kujifunza it's no kwa uzuzu wa watanzania, tungejifunza baada ya ajali ya MV BUKOBA, ziwa lile halina kabisa life saver boats, wala hakuna kikosi maji cha police, PM alitakiwa ajiuzuru as soon as possible, but maisha yataendelea na mazuzu watasahau issue hii kama ile ajali ya Mh.Mbunge wa Ludewa (rip)
Mkuu mimi pia nina swali kwa barafu, je Majaliwa kama Mvuvi au mwanika dagaa wa kawaida, aliwezaje kujua kama ndege ina emergency exit door? Au alifungua mlango wa kawaida? Kwenye kufungua kwa kutumia kasia sina shaka maana inawezekana wakati anapiga na kasia lake then mtu wa ndani akafungua so yeye akajua ndiye kafungua. All in all anahitaji kupongezwaSwali ndugu yangu Barafu.
Kwenye issue ya Mlango unaozungumziwa ulikuwa ni ule wa "emmergency exit" au hii milango ya kawaida ya mbele na nyuma?.
Je "emmergency exit" doors za ATR zinafunguka kwenda chini na kuwa ngazi balanced na small hydraulic cylinders left and right au ni ule unaofunguka kwa kwenda juu ukifyatua latch kwa ndani?
Kama wewe unaona hakuna kosa la kiwajibikaji hapo kwa PM,mjadala huu ni mfu, PM ni serial liar na kwangu amepoteza ile confidence yangu, huwezi kuliongopea Taifa na still uka walk freePM ajiudhulu Kwa kosa gani boss?
Wacha kujitoa akili boss nimekuuliza amefanya kosa gani au kipi kimetokea akashindwa kukisimamia Kama Waziri mkuu kwenye hyo ajali ya ndegeKama wewe unaona hakuna kosa la kiwajibikaji hapo kwa PM,mjadala huu ni mfu, PM ni serial liar na kwangu amepoteza ile confidence yangu, huwezi kuliongopea Taifa na still uka walk free