Mkuu wangerudije mwanza wakati ndege haikuwa na mafuta? Hii report haina ukweli wowote, kama ndege ingekuwa na mafuta angerudi mwanza, hakuna rubani mjinga wa kupeleka ndege majini kama hakuna hali ya hatari.
Tuseme ilikuwa na mafuta na ikatokea shida nyingine ya kiufundi, labda ile wanayosema tail ziligoma kutoka, kama ni shida ya tail kugoma kutoka na ndege ina mafuta ilibidi wawaandae mwanza ndege irudi mwaza wakute mazingira ya kuitua ziwani mwanza yalishaandaliwa maana dk 45 zingetosha kuandaa mazingira ya uokoaji.
Itoshe kusema ndege haikuwa na mafuta that's all.