TANZIA Ajali yaua 5 na kujeruhi 36 Shinyanga

Alhmdllh mpwa wangu kanusurika. Madereva muda mwingine huwa wanajisahau sana.
 
😂😂😂😂😂 hapo inakuwa jino kwa jino dereva kashapagawa anataka amuwahi mkewe ww unaleta mambo ya kitoto
 
R.I.P JPM ulipochukua nchi ulikuta kuna ajali nyingi sana ukalifanyia kazi ajali zikapungua sana lakini sasa hivi zinarudi kwa kasi
 
Mabasi yanasifa sana anakuletea bodi ili umpisha sasa akikutana na dereva kichaa ndio haya yanatokea huwa always wanaharaka na wanafhani wana hatimiliki ya barabara
wazee wa kafara walikua mzigoni. 😎
 
hivi Madereva wanakuaga wamesinzia au nini hua kinatokea mpaka magari yanagongana uso kwa uso ?
 
Inasikitisha sana na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Yani uso kwa uso useme ni udhembe !!!????

binafsi nasema wazee wa kafara walikua mzigoni.

Naam, zipo ajali za kugongana magari uso kwa uso zinazosababishwa na uzembe "wreck less driving"...

Kulazimisha kufanya overtaking eneo lisilo salama ni moja ya chanzo cha huo uzembe...
 

Safiri salama ukirudi Dom tutafutane, mi ntaenda jumanne Dar, kikubwa Dua na TOBA
Nashukuru mkuu nimefika salama nimeanza safari SAA 3 asubuhi na nimeingia DAR SAA 12 jioni...
Ila Kwa style ambayo nimeona Leo jinsi madereva wa serikali wanavyosumbua njiani hawa jamaa wanajiona wao ndiyo barabara ya kwao hawana hata taadhari kabisaa
 
Pamoja mkuu hata hivyo nimefika salama nashukuru MUNGU
 

acha ujinga hata kama matraffic wapo ajali zipo tu uliona wapi trafic wakawepo usiku
 
Omba usikutane na Tanker inawahi beba mzigo na dereva ana kimeo cha deni la mafuta
Umenikumba Jana tupo kwenye Costa ya abiria aisee ilipita tanker moja ina over take , adi nikaogopa ,nadhani ilikuwa empty inawahi mzigo uko daresalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…