Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

Poleni mno kwa wafiwa ,inasikitisha mno for a very young family kupoteza maisha yao kwa ajali kama hii ambayo ingeweza kuepukika,PLS PLS GUY'S NI SHERIA YA KIMATAIFA KUSIMAMA KWENYE KILA KIVUKO CHA TRENI, NA KIVUKO HIKO KIWE KINATUMIKA AU LA, approach KIVUKO kwa ku slow down, put your hazard lights on, one meter SIMAMA KABISA na OBSERVE ILE 180degree, processed only if it's SAFE to do SO, pls guy's
 
Kwa nini mamlaka(TRC) hawafungi njia ili treni ipite kwanza?, wakiweka hata magogo pande zote mwa barabara napo ni vigumu?
Mhusika mwenyewe ushindwe kuchukua tahadhari ya maisha yako then uwaachie TRC ???

Uhai ni wa kwako binafsi, endeleza uzembe ufe kwa kisingizio kwamba ulipangiwa n Mungu ufe kwa uzembe.
 
Kwa nini mamlaka(TRC) hawafungi njia ili treni ipite kwanza?, wakiweka hata magogo pande zote mwa barabara napo ni vigumu?
Kivuko cha reli sio siri kama ni driver makini unajua nini cha kufanya iwe treni ipo au haipo. Mtu anaesema treni imemshtukiza, na kelele na muungurumo wote ule sio rahisi uwe hujaskia unless hauko makini.
 
Mara nyingi watu wanapoendesha huwa wanafunga vioo na kufungulia kiyoyozi na wakati mwingine hukuta wanapiga story pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwnyw imewahi kunikuta usiku mmoja tunatoka ifakara kuzika, tuko kama msafara wa gari 6 hivi,
yangu ndo ya mwisho, nmempakia wife,washkaji na wazee wa heshima kadhaa.

Nmefunga vioo, tunakula kiyoyozi
zinapiga kwaya na story kadhaa zinaendelea
Kuna reli flani Iko kwny Kona kali (sipakumbuki jina).
Ile nmevuka tu Yale machuma chuma, naona mwanga mkali sn unanipiga Kwa nyuma kupitia side mirror.
Nikajua litakua fuso hili, nichek namna ya kumpisha.
( Kawaida Sipendagi kuongozana na malori barabarani)

Kuangalia nyuma mwanga umepotea,
Ikabd kushusha kioo, duh! Naskia mtikisiko mno
Kumbe ni treni limetupita na liko spidi Kali balaa. Nilisimama kwanza kuvuta pumzi mara tatu maana lingetuvaa tu pale hakuna mtu mmoja angesalia[emoji26][emoji120]
Inaonekana radio na miziki ni common cause
Kila aliyenusurika anasema alikua kawasha mziki

Tujaribu kupunguza sauti za miziki

Binafsi sijui nna shida au la sipendi kuwasha mziki wala radio in my car
 
Pole nyingi kwa familia! Nimesoma mahali anazikwa kesho Sinza Dar.
 
Kivuko cha reli sio siri kama ni driver makini unajua nini cha kufanya iwe treni ipo au haipo. Mtu anaesema treni imemshtukiza, na kelele na muungurumo wote ule sio rahisi uwe hujaskia unless hauko makini.
Miziki kwenye gari yaonekana ni sehemu ya tatizo
Kila mnusurika anasema hivyo

Tukumbuke kuangalia kushoto na kulia
 
Hivi kwanini wanashindwa kufunga barabara ili treni ipite kwanza?

Yaani kufunga barabara inakuwa jambo gumu, kweli!?
Hata kuweka tuta moja sehemu hatarishi ni mpaka watu wafe na waandamane
 
Kivuko cha reli sio siri kama ni driver makini unajua nini cha kufanya iwe treni ipo au haipo. Mtu anaesema treni imemshtukiza, na kelele na muungurumo wote ule sio rahisi uwe hujaskia unless hauko makini.
Watu wengi ulimbukeni wa AC kwenye Gari ndiyo unawaponzaga! Hata Kama kuna hatari mbele,hata wakipigiwa kelelee hawasiki maana vio vyote vimefungwa hadi juu!!
 
Hawa wanao kufa kwa kugonga treni wana kufaga kwa ujinga wao tu na mahalaka ya kijinga
Usiseme hivyo ndugu, uzembe unaanzia Kwenye treni yenyewe na wenye reli Yao!! Kuna kitu kinaitwa clear site distance ya mtu kuweza kuona train yenyewe inakuwa imezongwa na mabango, biashara holela, na hata miti imeota!! Mtumiaji WA barabara hawezi kuiona treni hata mita 20 Kabla!! Tunaomba watu WA safety WA reli wafanye kitu, mifano ipo mingi kama buza na barabara ya jet corner (tazara) na kote Hali ni hizo hizo
 
Back
Top Bottom