Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

Pole Yao,hapo ili mtoto aishi kwa amani mama mdogo achukue jukumu la kujitolea kulea huyo mtoto atakua tu vizuri ,ndugu zetu wengi huwa si waaminifu pale tunapokuwa hatupo duniani wanachowaza Ni Mali tu hapo sio wote wenye hila
 
Nimemsikia mwanasheria wa PT usalama barabarani akidai madereva wote nchini wawe wanatembea na vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya udereva pamoja na leseni zao.

Tunakoelekea watataka watu tutembee na madaftari ya notisi za driving schools.

BTW😛ale Isaka (Bandari kavu) palikuwepo na kizuizi (barrier) pamoja na kibanda cha mfanyakazi anayefunga na kufungua barabara.
 
Good idea. Litafanyiwa kazi.
 
Hawa wanao kufa kwa kugonga treni wana kufaga kwa ujinga wao tu na mahalaka ya kijinga
Ukiwa hai na mzima unaona kama aliyepata ajali ni mjinga......ngoja wasaa wako ukifika ndio utajua hujui......
 
Wewe ulikuwa huoni kuwa mbele kuna reli?
 
Amina[emoji120]
 
Hakinaga mbabe Kifo,,,,anaelezea kirahisi rahisi sana,,,amejisahau kwa kuwa bado amejaaliwa hako ka pumzi cha kutamba sasa,,,, ngoja tusubirie yeye kama ataishi milele maana anaoneka ana mbinu dhabiti za kukikwepa!!
 
Pumzika kwa amani Hussein Hamad Chilala, hii imenishtua sana huyu jamaa namkumbuka vyema nilisoma naye alinitangulia vidato. Mmoja wa watu wapenda mazoezi na kampani yake Niliikubali sana
 
Sijui jamaa kaandika vile ili amfurahishe nani?

Huenda breki ziligoma.
 
Unavukaje reli kizembe mkuu
 
Kivuko cha reli sio siri kama ni driver makini unajua nini cha kufanya iwe treni ipo au haipo. Mtu anaesema treni imemshtukiza, na kelele na muungurumo wote ule sio rahisi uwe hujaskia unless hauko makini.
Mkuu magari ya kisasa, wakifunga vioo wanawasha mziki, hakuna sauti ya nje inayosikika ndani ya gari,

Hata honi ya treni inakuwa ngumu kuisikia,

Kwenye vivuko vya SGR, sijui itakuwaje, maana kwa madereva wetu hawa maafa yanaweza kuwa makubwa sana,



Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…