Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

Mkuu pamoja na alama za barabara kuwa clear bado ukaingia na zote?

Jipe muda wa kupumzika uwapo na usafiri binafsi!!
 
Ni ile ilitokea Mwanza pale maeneo ya Fella jamaa alikuwa anawahi Nyamongo?
 
hatahivyo kuna alama zozote za kuashiria kwamba kuna treni inapita?
 
Eeh! AC ni Ulimbukeni Kumbe?
Ndiyo ulimbukeni! Wengine mko kwenye kivuko Kama kwenye Pantoni baharini kabisa eti Yuko kwa gari anaungurumisha mashine kisa kula AC, wakati kuna upepo mwanana wa bahari!! Likitokea la kutokea hata kusikia matangazo ya hatari hasikii! Mnapokua maeneo ya hatari madereva shusheni vio na mpunguze sound ndani ya gari mtaokoka na mengi!! Ni Mimi dereva mwenzenu wa siku nyingi sana!!
 
Kila baada ya miaka mitano toka kupata leseni dereva arudi shule na apige shule ya kutosha. Madereva kanjanja ni wengi sana.
Hiyo sio solution kwa mtu mwenye ngozi nyeusi hakuna la maana hapo yaani ngozi nyeusi ni kiumbe ambae hajielewi hata asome vp
 
Ni uzembe kupiga kwaya sjui mziki kwenye gari ukipata ajali unasingizia mungu alikupangia utafikiri mungu mlionana na mungu akakupangia
 
Vivuko vya SGR gari zinapita chini
 
Ikifika apo Huwa nawaza Watanzania sijui alieturoga Nan[emoji26][emoji3525]
Sasa we usharogwa na mchepuko zaidi ya mkeo.
Lawama zingine mnampa mungu tu .
Wakati mmejiroga wenyewe na akili zenu za koroboi hizi
 
Dr.Ibenzi Ernest Kiongozi wa hovyo sana Wizara ya Afya chukueni hatua mapema.Hafai kabisa kuwa Hospitali ya Rufaa Mkoa Dodoma anaendekeza Sukuma gang.Anakwamisha jitihada za Mh.Rais Samia Suruhu Hassan na kageuza Hospitali kama Mali yake binafsi.
 
Hii Ya Kwenye Pantoni, Ni Uvunjifu tu Sheria, Ila Kwa Barabarani Hapana kwa Kweli, Na Joto Hili la Dar Bila AC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…