Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena kuna gari lilianguka kama wiki mbili hiv.
Leo, asubuhi nakutana na huyu mfanyakazi ofisi ya hazina, amefariki na mtoto wake, ila Mama na wengine wapo hospitali majeruhi.
Jamani tufanye nini ? Hivi hizi damu zinazomwagika hivi na kuacha watu wakiwa vilema na tegemezi, tutakuja kumaliza hii adha lini.
Kwani nchi za wenzetu wanafanyaje ? Kiranga nasikia unaishi marekani ? Hivi utaratibu wa vacation huko nnje upoje ? Mbona sisi tunaokaa Musoma huko huwa tunajipanga na tunasafiri aste aste mpaka tunafika salama (tulio wengi) Utakuta unaendesha mpaka dodoma unapumzika, then mwanza unapumzika then musoma, na sisi ndio safari ndefu kabisa ukitoa kagera na kigoma.
Kaka MshanaJR sijajua ni kabira gani, ila nahisi ni mchaga, Brother embu njoo hata na mawazo na solution, Maana wachungaji wanahubiri kila siku, mikesha ya manabii yote inasema juu ya mwisho wa mwaka.
Hitimisho, Je solution ya ajali za mwisho wa mwaka ni nini ? Au tufunge mjadala wa kuwapa @tanpol lawama ? Lakini naona tutakuwa tunawalaumu bure tu. Watanzania wenzangu tufanyaje ?
Nawasilisha