kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Uefa ikiisha uzi unakufwa ,,,, Ni suala la muda tu !!!
Ajax wapo kwenye kipindi kizuri kwa kuangalia squad yao na age rates! Pia performance,
Ni Kama Leicester ya hv majuz , walivyoibuka na mafanikio season moja Kisha wakapotea! walishindwa kuwakeep mastaa wao wakauzwa kwa vilabu vikubwa na kupewa mikataba minono ! Ajax nao next season hawawez kuwa na mastaa wao wote, kina de Jong tayari, de light nae vilabu vikubwa vinamtolea udenda ! Time Will tell
Soon watarud kwenye shimo walilotokea, siku hz football Ni pesa !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha fainal UEFA ni Ajax na LIVERPOOL
LKN LIVERPOOL NDO TUTANYENYUA NDOO
13SEPTEMBER
Umekosea....Kama haujui Barcelona hii na falsafa yao imeanzishwa na Marehemu gwiji na mwanzioishi wa Total football Johan Cruyyf ambae Ni mholanzi na huo mpira ulikua unafundishwa pale kwenye chuo Cha Ajax? Kwaio Barcelona ndio academy ya Ajax kwa uasili....Uholanzi wanahasira Sana baada ya hii miaka sita kuboronga naona wamejipanga kutengeneza Timu ya Taifa Bora.Also known as BARCELONA ACADEMY
Kwani nini maana ya ACADEMY? Style imefundishwa na Cruyff lakin mchezaji gani kapromotiwa kutoka barca to ajax?Umekosea....Kama haujui Barcelona hii na falsafa yao imeanzishwa na Marehemu gwiji na mwanzioishi wa Total football Johan Cruyyf ambae Ni mholanzi na huo mpira ulikua unafundishwa pale kwenye chuo Cha Ajax? Kwaio Barcelona ndio academy ya Ajax kwa uasili....Uholanzi wanahasira Sana baada ya hii miaka sita kuboronga naona wamejipanga kutengeneza Timu ya Taifa Bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mim ni Shabik wa LIVER na BARCA lkn linapo kuja swala la LFC sitakagi mazoea kabisa na tim nyingineSababu wewe ni liva sio.. Vizuri
Kwaio Timu kuchukua wachezaji sehemu hapo panakua Academy yake? Maana Arsenal wamechukua wachezaji wadogo zaidi ya wawili toka Barcelona na kuwapandisha na kuwa wachezaji wakubwa kwaio Barcelona Ni Academy ya Arsenal?Kwani nini maana ya ACADEMY? Style imefundishwa na Cruyff lakin mchezaji gani kapromotiwa kutoka barca to ajax?
We si kurlzawa Mkuu
Wakileta tamaa ya pesa watauza makinda hatari wataacha wazee , lakini hii team inapiga sana mpira hata kwenye ligi yao goal margin yao haishuki 2 goals.Uefa ikiisha uzi unakufwa ,,,, Ni suala la muda tu !!!
Ajax wapo kwenye kipindi kizuri kwa kuangalia squad yao na age rates! Pia performance,
Ni Kama Leicester ya hv majuz , walivyoibuka na mafanikio season moja Kisha wakapotea! walishindwa kuwakeep mastaa wao wakauzwa kwa vilabu vikubwa na kupewa mikataba minono ! Ajax nao next season hawawez kuwa na mastaa wao wote, kina de Jong tayari, de light nae vilabu vikubwa vinamtolea udenda ! Time Will tell
Soon watarud kwenye shimo walilotokea, siku hz football Ni pesa !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio Timu kuchukua wachezaji sehemu hapo panakua Academy yake? Maana Arsenal wamechukua wachezaji wadogo zaidi ya wawili toka Barcelona na kuwapandisha na kuwa wachezaji wakubwa kwaio Barcelona Ni Academy ya Arsenal?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mim ni Shabik wa LIVER na BARCA lkn linapo kuja swala la LFC sitakagi mazoea kabisa na tim nyingine
13SEPTEMBER
Utashangaa kutokuiona klabu yako finalHaha fainal UEFA ni Ajax na LIVERPOOL
LKN LIVERPOOL NDO TUTANYENYUA NDOO
13SEPTEMBER