Ajax FC (AFC) Special Thread

Ajax FC (AFC) Special Thread

Uefa ikiisha uzi unakufwa ,,,, Ni suala la muda tu !!!

Ajax wapo kwenye kipindi kizuri kwa kuangalia squad yao na age rates! Pia performance,

Ni Kama Leicester ya hv majuz , walivyoibuka na mafanikio season moja Kisha wakapotea! walishindwa kuwakeep mastaa wao wakauzwa kwa vilabu vikubwa na kupewa mikataba minono ! Ajax nao next season hawawez kuwa na mastaa wao wote, kina de Jong tayari, de light nae vilabu vikubwa vinamtolea udenda ! Time Will tell

Soon watarud kwenye shimo walilotokea, siku hz football Ni pesa !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo inabomolewa na wamubwa, hai a future hii timu. De jong ni Barca player.
De ligt is loading
Uefa ikiisha uzi unakufwa ,,,, Ni suala la muda tu !!!

Ajax wapo kwenye kipindi kizuri kwa kuangalia squad yao na age rates! Pia performance,

Ni Kama Leicester ya hv majuz , walivyoibuka na mafanikio season moja Kisha wakapotea! walishindwa kuwakeep mastaa wao wakauzwa kwa vilabu vikubwa na kupewa mikataba minono ! Ajax nao next season hawawez kuwa na mastaa wao wote, kina de Jong tayari, de light nae vilabu vikubwa vinamtolea udenda ! Time Will tell

Soon watarud kwenye shimo walilotokea, siku hz football Ni pesa !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha fainal UEFA ni Ajax na LIVERPOOL

LKN LIVERPOOL NDO TUTANYENYUA NDOO

13SEPTEMBER
 
Also known as BARCELONA ACADEMY
Umekosea....Kama haujui Barcelona hii na falsafa yao imeanzishwa na Marehemu gwiji na mwanzioishi wa Total football Johan Cruyyf ambae Ni mholanzi na huo mpira ulikua unafundishwa pale kwenye chuo Cha Ajax? Kwaio Barcelona ndio academy ya Ajax kwa uasili....Uholanzi wanahasira Sana baada ya hii miaka sita kuboronga naona wamejipanga kutengeneza Timu ya Taifa Bora.

Kwani nini maana ya ACADEMY? Style imefundishwa na Cruyff lakin mchezaji gani kapromotiwa kutoka barca to ajax?
 
Kwaio Timu kuchukua wachezaji sehemu hapo panakua Academy yake? Maana Arsenal wamechukua wachezaji wadogo zaidi ya wawili toka Barcelona na kuwapandisha na kuwa wachezaji wakubwa kwaio Barcelona Ni Academy ya Arsenal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii team.ina historia kubwa sana kwenye soka
Naiita "kiwanda" asee..
Am in
 
Uefa ikiisha uzi unakufwa ,,,, Ni suala la muda tu !!!

Ajax wapo kwenye kipindi kizuri kwa kuangalia squad yao na age rates! Pia performance,

Ni Kama Leicester ya hv majuz , walivyoibuka na mafanikio season moja Kisha wakapotea! walishindwa kuwakeep mastaa wao wakauzwa kwa vilabu vikubwa na kupewa mikataba minono ! Ajax nao next season hawawez kuwa na mastaa wao wote, kina de Jong tayari, de light nae vilabu vikubwa vinamtolea udenda ! Time Will tell

Soon watarud kwenye shimo walilotokea, siku hz football Ni pesa !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakileta tamaa ya pesa watauza makinda hatari wataacha wazee , lakini hii team inapiga sana mpira hata kwenye ligi yao goal margin yao haishuki 2 goals.
 
Nadhani hukuelewa dhumuni langu kusema aka Barcelona ACADEMY
Kwaio Timu kuchukua wachezaji sehemu hapo panakua Academy yake? Maana Arsenal wamechukua wachezaji wadogo zaidi ya wawili toka Barcelona na kuwapandisha na kuwa wachezaji wakubwa kwaio Barcelona Ni Academy ya Arsenal?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu za msimu mmoja hizi wala siziwekei dhamana, msimu uliopita ilikuwa Roma

This too, shall pass

Uyoga uyoga
 
Back
Top Bottom