Ajinyonga baada ya kuamka usiku na kukuta mkewe ametoroka nyumbani

Ajinyonga baada ya kuamka usiku na kukuta mkewe ametoroka nyumbani

huwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..


🤣🤣🤣🤣nyie hamnaga raha nyinginr zaidi ya hayo makitu asalaale!heshima yako mkuu😉
 
🤣🤣🤣🤣nyie hamnaga raha nyinginr zaidi ya hayo makitu asalaale!heshima yako mkuu😉

Asikudanganye mtu mama, furaha ya Mwanaume rijali ipo hapo kwenye hiyo burudani.. Dunia ikikuvuruga ukawa nyumbani unamtu anayeelewa haya mambo basi maswahibu yoote utayaona sio lolote na ni yeye tu atakayeshusha stress zote..
 
Mke anatoroka yeye akiwa kalala?atakuwa mlevi Huyo,na inawezekana mke ndio ilikuwa mchezo wake anatoroka na anarudi anakuta jamaa bado kalala.
 
Asikudanganye mtu mama, furaha ya Mwanaume rijali ipo hapo kwenye hiyo burudani.. Dunia ikikuvuruga ukawa nyumbani unamtu anayeelewa haya mambo basi maswahibu yoote utayaona sio lolote na ni yeye tu atakayeshusha stress zote..


😋😋😋😋! Raha sana!
 
Hahah...

Ilitakiwa mke akirudi akute jamaa naye kavuta mchuchu mwingine...

Sasa ona jamaa kajitundika huku nyuma kaachia utamu wenzake...
"Alisema kabla ya kujinyonga alikuwa amelala na mkewe alipo shtuka usingizini alikuta mke wake ametoroka na kwenda kwa mwanaume mwingine ndipo alipokasirika na kupatwa na wivu wa kimapenzi na kuamua kujinyonga"
Mkewe ndiye kashuhudia hayo? au walimuuliza marehemu? maana muelezeaji ni kama alikuwepo.
 
Hongera zisindikize safari yake
 
wanaume mapenzi yanawamaliza sana inaonekana mnaumiaga sana kusalitiwa lakini nyie mkiwa mnasaliti hamuumii maskini poleni sana
Nawaambiaga wanaume tutafute pesa ndio mfariji ukiwa na umri mkubwa sasa huyo fadha usikute hakuwa na pesa ya kutosha ko alikuwa anapata faraja kwa mwanamke maana ukiwa na pesa unajitafutia jimama unalikaza mwanamke akikuzingua unatimua sio kujinyonga au kujibembeleza uonewe huruma,mimi sinaga ujinga wa kumpa mwanamke nafasi kwenye akili na moyo
 
huwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..
Watu dizaini hii lazima ujinyonge,nashukuru Mungu hajaniumba kupenda mwanamke kwa sijui kukata kiuno mara masage and the likes lakini pia nilishaiweka akili yangu kwa tahadhari napoishi na mwanamke or anything kwamba anytime t naweza kumbana na jambo lisilotarajiwa kutoka kwa mwanamke simply ni binadamu ko in case it happen nakuwa na uwezo wa kuikabili pressure unlike wengine wanajinyonga wanaanza kuwa walevi na kuvurugika maisha etc
 
Back
Top Bottom