Ajinyonga baada ya kuamka usiku na kukuta mkewe ametoroka nyumbani

Ajinyonga baada ya kuamka usiku na kukuta mkewe ametoroka nyumbani

Wanaume wana roho zao lakini hakuna kitu kinawamaliza kama kusalitiwa,,,,
Mwanamke anaweza asijue mume aliko hata siku3 lakini hafikii huko kwa kujinyonga
 
Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Mkuu kuna kitu mnatufanyiaga wanaume, huyo tusimcheke wala tusimhukumu, kafa kihalali.

Kupendwa haisumbui, utacheka, utaringa utakavyo na unaweza ukalitumia neno 'sitaki' kiurahisirahisi upendavyo,lakini likija suala la wewe kupenda sasa!

Utanyanyasika na utakwama mazima kama ndege mjanja anasavyo kwenye mtego wa usinga!

Hivi mkuu pitapita zako haujakutana na mtu akakutamkia....Akiyamungu ukiniacha najiua'...., haujawahi kutamkiwa ivo!

Wengine huropoka hayo huku wakimaanisha ukweli wa udhaifu wao.

Halafu hauwezi kupenda mtu ukiwa mtoto.
 
huwezi kwasababu sio Mwanaume wewe..
Ukiyafikilia ya chumbani ni hatari, watu mafundi mama unatamani uwe unashinda nyumbani tu.. Ukijinyoosha tu unalazwa chini inapigwa massage, mwanga mdogo, mafuta ya nazi au machicha ya nazi, kamziki kwambali..baada ya hapo abdala kichwa wazi anasagwa kichwani mdogo mdogo hahahaahaahahaha lazima umnunulie mama Harrier latest version au kitu cha Audi Q7.. HAHAHAHHA dunia tamu asikwambie mtu..
Nimecheka kwa sauti.
 
Haaaaahaaa! Huyo kaonja vya kuonja!chezea [emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]..akashindwa vumilia had asbh[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji104][emoji104]!atamzika mumewe akiwa mwspesiiiiiii[emoji18]!
Stamzika mwenyewe wakati kagusa sharubu za Siro?
 
Mkuu kuna kitu mnatufanyiaga wanaume, huyo tusimcheke wala tusimhukumu, kafa kihalali.

Kupendwa haisumbui, utacheka, utaringa utakavyo na unaweza ukalitumia neno 'sitaki' kiurahisirahisi upendavyo,lakini likija suala la wewe kupenda sasa!

Utanyanyasika na utakwama mazima kama ndege mjanja anasavyo kwenye mtego wa usinga!

Hivi mkuu pitapita zako haujakutana na mtu akakutamkia....Akiyamungu ukiniacha najiua'...., haujawahi kutamkiwa ivo!

Wengine huropoka hayo huku wakimaanisha ukweli wa udhaifu wao.

Halafu hauwezi kupenda mtu ukiwa mtoto.


Huo ni utoto tu kaka!
 
Haaaaahaaa! Huyo kaonja vya kuonja!chezea [emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]..akashindwa vumilia had asbh[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji104][emoji104]!atamzika mumewe akiwa mwspesiiiiiii[emoji18]!
Huyo hata msibani haendi watamtoa roho ndgu wa mume
 
Yes na hao wa vijijini wapo nachulo...kitu hakina mambo ya miski sijui maspray ya k mara vurugu gan![emoji6][emoji6]! Ngoma lazima ikeshe!ila sijajiua bado
Sawa pamoja na hayo lakini huwezi kuchukua uamuzi wa kujiua kwa sababu umesalitiwa na huyo unayemsema yupo nachro.
 
Ila wanaume mna shida sehemu !mtu umekutana naye ukubwan ujinyonge? Hapana aisee!
Ni wanaume wa mikoani tu ndo wanatabu leo maeneo ya Bunju niliona mwanmke na mwanaume wanatandikana barabarani nilitamani nisimame nikajue kilichojiri hahaha
 
Back
Top Bottom